Wauza kuku na Mayai tukutane hapa

Wauza kuku na Mayai tukutane hapa

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
1,131
Reaction score
1,598
Kwa wale wafugaji na wanunuzi na wauzaji wa kuku wa kienyeji na kisasa tukutane hapa
Weka aina ya bidhaa yako hapa ikiwa ni pamoja picha na umri kama ni kuku bei, mahali ulipo pamoja na mawasiliano yako
Mayai bei ya tray na hapa bei ya yai moja
 
Karibuni tupeane uzoefu wa biashara hii pamoja na upatikanaji wa masoko
 
Lengo hasa la uzi huu ni kupeana elimu pamoja na changamoto katika sekta hii ili tuweze kufanikiwa kimaisha karibuni tuchangie kwa wingi wanajamvio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom