Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kibaha

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kibaha

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,348
Reaction score
26,144
Ndugu wana-JF,

Katika kuuanza mwaka mpya wa 2018, nawashirikisheni jambo hili kuhusu Viwanja vilivyopimwa na vinavyouzwa kwa bei nafuu. Kuna viwanja vilivyopo Pangani-karibu na Stendi mpya ya mabasi madogo ya Mailimoja ambavyo vinauzwa kwa shilingi 7000 kwa mita moja ya mraba. Pia, vipo viwanja vya Sofu, Picha ya Ndege vinavyouzwa kwa shilingi 6000 kwa mita moja ya mraba.

Mauzo ya viwanja tajwa yanasimamiwa na Halmashauri ya Mji Mdogo ya Kibaha. Malipo ni kwa awamu mbili. Hati za viwanja za kiserikali zinaandaliwa na zinatolewa baada ya mambo ya malipo kukamilika.

Kwa maelezo zaidi, tafadhalini wasilianeni na Mtaalamu wa Upimaji mwenye taarifa sahihi na njema ya viwanja hivyo kwenye nambari zifuatazo: 0768 171224 au 0673751175. Maisha ni kujipanga Wakuu!
 
hiyo bei kwa bei yabei ya soko kubwa sana kwa kibaha, ingeanzia angalau elfu tatu hadi tano mwisho.
 
Ndugu wana-JF,

Katika kuuanza mwaka mpya wa 2018, nawashirikisheni jambo hili kuhusu Viwanja vilivyopimwa na vinavyouzwa kwa bei nafuu. Kuna viwanja vilivyopo Pangani-karibu na Stendi mpya ya mabasi madogo ya Mailimoja ambavyo vinauzwa kwa shilingi 7000 kwa mita moja ya mraba. Pia, vipo viwanja vya Sofu, Picha ya Ndege vinavyouzwa kwa shilingi 6000 kwa mita moja ya mraba.

Mauzo ya viwanja tajwa yanashimamiwa na Halmashauri ya Mji Mdogo ya Kibaha. Malipo ni kwa awamu mbili. Hati za viwanja za kiserikali zinaandaliwa na zinatolewa baada ya mambo ya malipo kukamilika.

Kwa maelezo zaidi, tafadhalini wasilianeni na Mtaalamu wa Upimaji mwenye taarifa sahihi na njema ya viwanja hivyo kwenye nambari zifuatazo: 0768 171224 au 0673751175. Maisha ni kujipanga Wakuu!
Mkuu Ahsante kwa Taarifa nzuri sana...
Ila naomba nikuulize mambo mawili matatu kama mtu pia ameona viwanja sehemu nyingine kama Madale,Goba,bagamoyo,kigamboni,mji mwema nk kipi kimvutie anunue kibaha?
1.Miundombinu ya maji na umeme ikoje?
2.Master plan ya eneo hilo la mjo mdogo na hilo eneo inasemaje?
3.Hati unapata baada ya muda gani?
Ahsante mkuu...kama utaweza kuongezea zaidi ni vema Pia.
 
Mimi nataka kimoja, lkn ningependa kama kuna chochote ambacho naweza kuona Dar skyline au Bahari niko tayari kwa gharama yoyote vinginevyo hakuna cha kunipeleka Kibaha!
 
Mkuu Ahsante kwa Taarifa nzuri sana...
Ila naomba nikuulize mambo mawili matatu kama mtu pia ameona viwanja sehemu nyingine kama Madale,Goba,bagamoyo,kigamboni,mji mwema nk kipi kimvutie anunue kibaha?
1.Miundombinu ya maji na umeme ikoje?
2.Master plan ya eneo hilo la mjo mdogo na hilo eneo inasemaje?
3.Hati unapata baada ya muda gani?
Ahsante mkuu...kama utaweza kuongezea zaidi ni vema Pia.
Mkuu, ukiwasiliana na huyo mwenye nambari za simu kila jambo utalielewa. Asante Mkuu
 
Ndugu wana-JF,

Katika kuuanza mwaka mpya wa 2018, nawashirikisheni jambo hili kuhusu Viwanja vilivyopimwa na vinavyouzwa kwa bei nafuu. Kuna viwanja vilivyopo Pangani-karibu na Stendi mpya ya mabasi madogo ya Mailimoja ambavyo vinauzwa kwa shilingi 7000 kwa mita moja ya mraba. Pia, vipo viwanja vya Sofu, Picha ya Ndege vinavyouzwa kwa shilingi 6000 kwa mita moja ya mraba.

Mauzo ya viwanja tajwa yanashimamiwa na Halmashauri ya Mji Mdogo ya Kibaha. Malipo ni kwa awamu mbili. Hati za viwanja za kiserikali zinaandaliwa na zinatolewa baada ya mambo ya malipo kukamilika.

Kwa maelezo zaidi, tafadhalini wasilianeni na Mtaalamu wa Upimaji mwenye taarifa sahihi na njema ya viwanja hivyo kwenye nambari zifuatazo: 0768 171224 au 0673751175. Maisha ni kujipanga Wakuu!
Kwa kipindi hiki,bei hiyo,kwa mita ya mraba,ni kubwa sana,wilaya zingine kama,Mbogwe,bei ni 2000Tsh,kwa mita ya mraba,na unapewa miezi mitatu kukamilisha malipo,
Kwa bei hiyo ya Kibaha,wangeongeza muda wa malipo,ili na sie pangu pakavu tia mchuzi,tufanye yetu
 
Mi naona nimelogwa, nikiwa na pesa akili yote kwenye bia na mademu.

Nikiishiwa na kubaki tiamajitiamaji ndo nachukua kakuleta kupiga mahesabu ya 7000 kwa mita moja ya mraba. Trump anisamehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom