WAna board Hi,
naomba kuuliza,
naweza pata kwa kiasi gari lenye taarifa hizo hapo juu? (ie BREVIS 3000Cc Reg # ...DLL
Likiwa kwenye hali nzuri, 70000km
...7.5 mil...negotiableBei?
mkuu hii nimechukua kwa watu wa Be forward wao huwa wanacalculate pamoja na clearing.nadhani mpaka uwe nayo mkononi haizidi 10BAdo Port, na clearing agent charges.
Wont go below 11mil man
Be forward boss huwa wanaconsider CIF value na KOdi tu. They dont consider Port charged, shipping line charges,na pia Clearing Chargesmkuu hii nimechukua kwa watu wa Be forward wao huwa wanacalculate pamoja na clearing.nadhani mpaka uwe nayo mkononi haizidi 10
Hapo utalaliwa kidogo coz mtu atanunua mkononi..So, inaweza kuwa hivyo pia hata kwenye kuuza, nikiwa nayo?