Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,199 May 16, 2018 #1 Natafuta Laptop Used mtu aniuzue . Iwe kwenye hali nzuri Ram iwe kuanzia 3GB ikiwa 5GB itapendeza . HDD iwe 500GB na kuendelea. Bajeti yangu ni 300k to 250k kulingana na ubora wa PC yenyewe. Nipo Napatikana Dodoma. Mawasiliano zaidi njoo PM
Natafuta Laptop Used mtu aniuzue . Iwe kwenye hali nzuri Ram iwe kuanzia 3GB ikiwa 5GB itapendeza . HDD iwe 500GB na kuendelea. Bajeti yangu ni 300k to 250k kulingana na ubora wa PC yenyewe. Nipo Napatikana Dodoma. Mawasiliano zaidi njoo PM
Jemedal_bin_chichi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2016 Posts 542 Reaction score 585 May 16, 2018 #2 Kwa bajeti hiyo na demand zako ni bora ununue Tecno tuu, Nadhan unalinganisha Laptop na zile Radio zenu za kanda, By the way jina lako limesadifu
Kwa bajeti hiyo na demand zako ni bora ununue Tecno tuu, Nadhan unalinganisha Laptop na zile Radio zenu za kanda, By the way jina lako limesadifu
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,199 May 16, 2018 Thread starter #3 Jemedal_bin_chichi said: Kwa bajeti hiyo na demand zako ni bora ununue Tecno tuu, Nadhan unalinganisha Laptop na zile Radio zenu za kanda, By the way jina lako limesadifu Click to expand... Wewe hauna wenye nayo wameshaanza kuja PM kaa utulize Mshono.
Jemedal_bin_chichi said: Kwa bajeti hiyo na demand zako ni bora ununue Tecno tuu, Nadhan unalinganisha Laptop na zile Radio zenu za kanda, By the way jina lako limesadifu Click to expand... Wewe hauna wenye nayo wameshaanza kuja PM kaa utulize Mshono.
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,325 Reaction score 9,532 May 16, 2018 #4 Ipo hp 250,000, hdd 250 ram 2
Jemedal_bin_chichi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2016 Posts 542 Reaction score 585 May 16, 2018 #5 Zero IQ said: Wewe hauna wenye nayo wameshaanza kuja PM kaa utulize Mshono. Click to expand... [emoji23][emoji23]
Zero IQ said: Wewe hauna wenye nayo wameshaanza kuja PM kaa utulize Mshono. Click to expand... [emoji23][emoji23]