Msaada wadau wa elf 90, naweka Rehani baiskeli

Msaada wadau wa elf 90, naweka Rehani baiskeli

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Habari zenu wakuu,
Naitaji Tsh 90000/= kwa ajili ya kulipia pango,naweka bond baiskeli yangu ambayo ni Tubeless tyres,Nipo Arusha.
Tafadhari Naitaji msaada wako.Ni PM
 
Hata picha za baiskel hatuzioni, isije ikawa bambucha ambayo kwa huku mtu akichacha anakuuzia hata 40,000/=
 
Habari zenu wakuu,
Naitaji Tsh 90000/= kwa ajili ya kulipia pango,naweka bond baiskeli yangu ambayo ni Tubeless tyres,Nipo Arusha.
Tafadhari Naitaji msaada wako.Ni PM
Pole sana mkuu! Ungekua Dar tungeongea
 
Suali la msingi ni
Je hio baiskeli yako inafika gharama ya hio 90000???
 
Km unauza sema nauza baskeli sio eti naweka bondi!hiyo janja ya nyani kwishajua
 
Back
Top Bottom