Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu nahitaji gari aina ya IST, Passo au Spacio, namba D itapendeza zaidi ofer itatokana na gari mana najua hizo hapo juu zinatofautiana bei, pia kama kuna ambayo kati ya hizo haijasajiliwa bado...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toyota dyna tani 3.5,engine 4b,GARI ya Kazi fully vibali,popote unanusa,GARI ya Kazi ipo Dar mitaa airport,milioni 15 kama ni mnunuzi usiogope bei wanaume wanaongea.tuwasiliane inbox
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Simu aina ya Lenovo K5 inauzwa,ipo ktk Hali nzuri na haina tatizo lolote.Imetumika miezi 6. Sababu ya kuuza ni matatizo ya kipesa. Specifications RAM-3GB Internal Memory-32GB Processor 1.8GHz
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa madirisha bora na ya kisasa ya Aluminium, partitions na milango karibu Perfect Aluminium Fabricators. Tuna bei nzuri na kazi ya uhakika. Ofisi zetu ziko Dar es Salaam Salasala Karibu na Kanisa...
1 Reactions
45 Replies
16K Views
Tunanunua Landrovers za zamani iwe nzima ama mbovu katika hali yoyote ile tutumie picture kwenye whatsap number 0769968626, tupo mwanza lakini popote ilipo tuambie
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Maximum Range - 3,419 nm Maximum Cruise Speed - 419 ktas Maximum Passengers - 12 Useful Load - 14,419 lb Takeoff Field Length - 4,198 ft PM me for more info 27billions.
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Nyumba nzuri ya ya kisasa inajitegemea kila kitu Ipo Sinza, Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo Master, choo cha public, sitting room, dining, tiles, gypsum, sliding windos, paving Blocks, car...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
PeMS ni mfumo ambao unauwezo wa kuhifadhi kumbukumbu za mauzo pamoja na kucontrol stock jumlajumla,rejareja na kwa kutumia bima. Huu mfumo unaweza kutumika kwa njia mbili. 1.kwa kutumia...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
AMIS is web based system which designed to handle all Academic Institution information include both colleges and schools. AMIS Feature. Here are just a few list of the available features 1.Store...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nahitaji nyumba kubwa kwaajiri ya kufanya hostel ya backpackers maeneo ya Dar es salaam ; Kigamboni, Mikochen, kinondoni na Mbezi yote...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Hbr wakuu, Natafuta kiwanja sehemu za Kigamboni, kikiwa Mji Mwema, Geza Ulole au Kibada itapendeza zaidi.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Suti ya kodrai nyeusi, mpya na haijavaliwa zaidi ya kujaribishwa inataka mnunuzi kwa bei ya chini (pungufu) ya dukani (original price)..... Kama upo interested weka offer yako njoo tuyajenge......
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu ununue bidhaa za asili za (Natural Products) Tunauza Mafuta ya nazi pure na organic kwa bei ya jumla na rejareja Pia tunauza mafuta ya nazi yaliyochanganywa na mchaicha na Rosemary mazuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo liko karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni(beach). Ni panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Toyota Wish Year : 2004 Engine capacity : 1990cc Trans : Auto Drive : 2wd Chassis No. ANE11-0024352 Other : AB ABS AERO RS FOG HID NV B-MONITOR Grade : Z Gharama yakuagiza pamoja na ushuru : Tzs...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF. Mimi ni sales representative wa kampuni ya Bima. Napenda kuwatambulisha huduma ya bima ya afya inayoitwa AFYA WOTE. Hii ni bima ya afya inayotolewa mahsusi kwa...
3 Reactions
44 Replies
11K Views
Habarini? Nahitaji Nyumba ya kupanga ndani ya jiji la ARUSHA maeneo ya Sakina itapendeza zaidi iwe na vitu hivi: 1. Inajitegemea peke yake kuanzia lango kuu la kuingilia na uzio wake. 2. Iwe na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu Natafuta mbegu za mmea wa azolla kwa ajili ya kuotesha,mwenye nayo kwa DSM naomba ajitokeze tafadhali
0 Reactions
1 Replies
3K Views
IST isiwe imechoka sana wadau
0 Reactions
9 Replies
856 Views
Back
Top Bottom