MWALIKO WA MAFUNZO YA LUGHA YA KIFARANSA

MWALIKO WA MAFUNZO YA LUGHA YA KIFARANSA

benny benny

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
6
Reaction score
0
wadau sisi ni kampuni ya HZL tunapatikana Arusha AICC tunashughulika na maswala ya trainings za ujasiriamali, customer care, human resource, lugha mbali mbali n.k tunashughulika pia na uandaaji wa business plans na research consultancy vile vile tunatafsiri lugha mbali mbali kama vile kingereza, kifaransa, kihispaniola, kijerumani na kireno.
tunapaenda kuwaalika wanajukwaa wa jukwaa hili kuhudhuria mafunzo ya kujifunza lugha ya KIFARANSA mafunzo yataanza jumatano tarehe23 na tutakuwa tunafanya kila wiki jumatano na alhamisi kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi na moja jioni.
nyote mnakaribishwa.
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE 0743282605 AU WATSAPP 0717032021
 
kuna stages mbali mbali,,,,,wasiliana nasi kwa maelezo zaidi 0743282605
 
Back
Top Bottom