Mkuu una contacts zao unisaidie?Nenda Chuo chochote cha mifugo kilicho karibu yako huwa wanakua na species wanaziuza kwa bei kuanzia laki8 had 1.2mil ambapo itauziwa wakiwa na mimba ya miez mi5 na hutoa lita kuanzia 20 kwa siku ukiwalisha vyema.
Ama fatilia Tangafresh wanauza pia species zinazotoa maziwa lita 25 na zaidi ila uwalishe vyema pia Iringa karibu na Sao hill kuna kambi ya mifugo pale wanauza 1.6mil ng'ombe wanatoa maziwa kati ya lita 22 na zaid ni wewe tu.
MBNA hujatoa namba zako za simu niku saidie kutangaza kwa wafugaji wa ngombe hao kama wanao kwa sasa ili uwapate???? Maana nafamiana na wafugaji was ngombe unao wahitaji
Si weka hapa namba zao.Yeye mwenye uhitaji ndo aweke namba zake sio Mimi niweke Mimi sio muuzaji wa hao ngombe
Heeee wew sio lazima namsaidia tu usizani mi nashida na hio tenda labda unielewe hivyo kiufupiSasa kwa nini unasumbuka?
Heeee wew sio lazima namsaidia tu usizani mi nashida na hio tenda labda unielewe hivyo kiufupi
Sawa karibu, veterinary products tunauza / tunasambaza Ng'ombe wa maziwa wasiliana kwa namba 0754987809Mkuu una contacts zao unisaidie?