Kama upo arusha nahitaji usb wire zenye urefu wa mita 1 na kuendelea nahitaji 5 pieces
Au nikipata earphone za samsung kama piece 5 uniuzie kwa bei ya jumla kuanzia piece 5
Njoo pm kama unazo...
Habari wakuu,nauza mkaa gunia elfu 40,mkaa safi kabisa wa porini nauza bei ya jumla hata kwa gunia moja.Karibuni sana niko!!! Kama unahitaji njoo dm tuyajenge.
Habari. Naitaji kama kuna mwenye taarifa za upatikanaji wa mashine za kutenganisha mchele na uchafu mwingine haswa mawe.
Naitaji kujua yafuatayo;
Kuna kampuni inayouza hizo mashine tanzania...
Wapendwa naomba kuuliza kwa Dar es salaam ni wapi wanapofungulisha mapochi ya mtumba ningependa kupata ile grade nzuri kabisa 'A' wanaiita, najaribu kujinasua kwenye hii ajira nilipo. Ningependa...
Habari wana jf,sisi tunajishughulisha na uchimbaji wa visima vya maji ( water well and borehole drilling) kwa gharama nafuu sana.
Bei zet ni...
1: 40000 tshs kwa mita moja...bei hii ni kwa...
Habari zenu, naomba kwa mwenye utaalamu wa kutengeneza vifungashio vya ufuta tuwasiliane tufanye biashara.
Namba yangu ya simu ni 0752719412 napatikana pia WhatsApp kwa namba hiyo, mwenye...
Habari wakuu,
Baada ya kusaka kazi mda mrefu nimeamua kuja kwenu kuomba msaada wa mtaji au mafunzo, au kama mtu anaweza niajiri ili niweze kujikimu kimaisha nitashukuru pia, nina hali ngumu...
Wakuu vipi.
Nauza wallet za kiume za PU-Leather soft kwa bei nafuu tsh elfu 15 tu.
Zina sehemu ya kuweka credit cards na ina zipped pocket for notes.
Nicall text au whatsapp 0758095750
Wakuu vipi.
Nauza 12 Pcs Set of Mini Multi-Function Magnetic Precision Screwdriver for DIY iPhones Samsung and other smartphones.
Bei Tsh elfu 10 tu.
Nipo Ubungo DSM 0758095750
Kwa huduma ya kusafirisha magari kutoka bandari ya Dar es salaam kwenda nchi za maziwa makuu na SADC, COMESA. Dereva anapatikana 0675184877. Tumia SMS atakutafuta.
Salama humu.
Anahitajika business partner mwenye uwezo wa ku supply tani 30 za mahindi kila baada ya wiki mbili. Yawe mahindi yanayofaa kwa kukobolewa/sembe
Kiwanda cha sembe kiko Kigamboni na...
Ndugu zangu je nikampuni au shirika gani mnalifahamu limekuwa likijishughulisha na mfumo wa kukaisha mbona na matunda?naomba jina, technlogia wayaotumia. Haitakuwa vibaya ukitueleza kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.