Ina Muda gani tokea umeanza kutumia
kula laki mbili niifuate muda si mrefu nikupe hela yako
camera yake ina ukubwa gani mkuu na inatumia line zote auHapana mkuu ongeza
camera yake ina ukubwa gani mkuu na inatumia line zote au
asante mkuu kwa maelezo mazuriCamera ni 5mp but iko clear View attachment 793047. Mfano hii ni picha imepigwa na hii ipad. Inakaa line yeyote, tigo voda airtel halotel ww tu