Ronee
Senior Member
- Jun 1, 2018
- 155
- 155
Wakuu, hiyo Friji hapo inauzwa
bei yake ni 200,000 maongezi kidogo yapo.
Bado iko vizuri na inachapa kazi haswa!
Ukiweka maji humo ama kinywaji chochote kinaganda kama jiwe.
karibuni. Nb. Iko makao maku
Napata shida Ku weka picha lkn nikifanikisha soon zitakuwa kwa hewa.