Nissan extrail 6.5 good one

Nissan extrail 6.5 good one

tax services

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
403
Reaction score
332
Gari nzuri inavutia sana kama inavyoonekana kwenye picha ni gari ilyotumika kistaarabu sana uwezi ata kuilinganisha na namba d ya sasa iv gari inaishi mbezi tairi mpya Sony music ndani na mmiliki ni mmoja tu na aijawai kupata mzinga wala aiwajui mafundi wa gonga gonga ilikuja na km 47 Tanzania

Mwaka ni 2002
Engine 1990
Tera weight 1400
Imported japan
AINA MATATIZO YOYOTE KWENYE ENGINE GARI IPO SAFI BEI POA
ATAKAYE HITAJI KUIONA KWA SASA NIPO NAYO ANANASIF KINONDONI
Serious buy call any time 0764529384
 

Attachments

  • IMG-20180602-WA0014.jpg
    IMG-20180602-WA0014.jpg
    45.2 KB · Views: 83
  • IMG-20180602-WA0012.jpg
    IMG-20180602-WA0012.jpg
    35.9 KB · Views: 74
  • IMG-20180602-WA0011.jpg
    IMG-20180602-WA0011.jpg
    36.2 KB · Views: 72
  • IMG-20180602-WA0007.jpg
    IMG-20180602-WA0007.jpg
    45.6 KB · Views: 46
  • IMG-20180602-WA0013.jpg
    IMG-20180602-WA0013.jpg
    47.5 KB · Views: 79
HAHA hizi ex trial vip?? mbona mmezisusa??? zina shida gani??? mtaani na mtandaoni naona zinauzwa kama njugu...
 
Tatizo mna kalili nyie chuma kimekuja almost new na makaratas yake
 
...... 47 km ni kutoka City Centre mpaka wapi kabla haija knock engine na kusafirishwa fasta😀
 
Back
Top Bottom