Suluhisho la kutibu chunusi usoni

Suluhisho la kutibu chunusi usoni

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,007
Reaction score
1,600
FAHAMU JINSI YA KUTIBU CHUNUSI .
-Ngozi za binadamu zina muundo sawa ila kitabia hutofautiana kulingana na experience za mtu huyo alizopitia,vyakula tunavyokula na msongo wa mawazo ya mtu husika.

Kwa kawaida ngozi zetu zinakuwa na muundo sawa tangu tunapozaliwa na kukua ila baada ya kufikia umri wa 15-18 ndio hutokea mavadiliko katika ngozi zetu.
Kwanin tunasema kuanzia miaka 15-18 ndio muundo wa ngozi hubadilika kwasababu ni kipind ambacho mabadiliko ya mwili hutokea kiasi kwamba baadhi yao huapata chunus,wengine hupata rashes n.k.
Na wakati mwingine chunus husababishwa na.baadh ya vipodozi tinavyotumia kwa ajili ya kulainisha ngozi zetu,bila kujua kuwa bidhaa tuliyoitumia haitufai,kwa kuwa watu wengi wahazingatii aina za ngozi zao na ubora wankile wanachonunua na hivyi matokeo yake hujikuta wakijiharibu uso.
Kwa kawaida ngozi ya uso wenye mafuta mara nyingi huwa na chunusi na ili mtu aweze kuondokana na tatzo hilo hana budi kufanya yafuatayo.

Kuuweka uso wake katika hali ya usafi yaan.kunawa uso mara mbili kwa siku,kwa kutumia sabuni za usoni kwa ngozi yenye mafuta.hii inasaidia vitundu vya ngozi kupumua vizuri ila kama vitundu vmhivyo vitaziba basi hujitengeneza na kuwa chunusi kutokana na bacteria.

Kwa wale wenye matatzo ya chunusi
Nawa shauri watumie set ya pureskin.au tea trea ambayo imetengenezwa kiaslia zaid huondoa tatizo kwa.muda mfupi

Kwa maswali au ushauri/kuhitaji huduma whatsapp me 0759827138 /text
By dr.said
FB_IMG_15261957532928075.jpg
 
Back
Top Bottom