[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu, acha uchokoziNi used au Kipya?
Na Jagi Unauzaje?
NimekuPMTupia namba yako tukayajenge
Mkuu iongeze namba iwe 44 ndio inanitosha nitakupa 50,000/=.Size :43
Color : Golden Brown
Condition: New
Price 35,000 (Negotiable)
View attachment 814733View attachment 814734View attachment 814735
Sasa kama ni kipya cha dukani hapo sakafuni kwako kinatafta nini?Kipya.....ni cha dukani.......
Jagi siuzi....nalitumia ha ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23]