Godoro dodoma linauzwa bei sawa na bure

Godoro dodoma linauzwa bei sawa na bure

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,929
Kama kichwa cha habar hapo juu

Godoro ni jipya kabisa limetumika hata miezi miwil haijafika urefu ni 6*6 upana ni inch 10

Jipya nilinunua 280000 /= kwa sasa nauza 200000\= tu

Napatikana dar kwa wanaohitaji watakuja pm

Ahsanteni........
 
Una ushahidi wowote wa kulinunua miezi miwili iliyopita>>
 
Una maannisha vip mkuu
Godoro la shata lipo km hilo mkuu. Tatizo hujaweka picha,hebu niambie lipo hivyo au lina-cover tu la kawaida!??
images.jpeg
 
Kama kichwa cha habar hapo juu

Godoro ni jipya kabisa limetumika hata miezi miwil haijafika urefu ni 6*6 upana ni inch 10

Jipya nilinunua 280000 /= kwa sasa nauza 200000\= tu

Napatikana dar kwa wanaohitaji watakuja pm

Ahsanteni........
Kaka kuna 150k hapa nikutapule na mimi nilale pakunoga kaka tafadhari kaka
 
Back
Top Bottom