Natafuta cheap massage parlow

Kuna sehem iko upanga... near Fire road wako vizuri
cheap na affordable... nilienda last week imenisaidia saaaana
sina namba zao ila ukitaka nikuelekeze I can do that
 
naitaji huduma ya full body massage siku ya jmosi .wapi wanatoa kwa bei nzuri jamani hapa dar?
Dah,
Yaani mungu huyu wa ajabu aisee, ashukuriwe sana.
Manake nami pia nlikua natafuta the same thing, na vifaa ninavyo pia ni mtaalamu,
Sasa Mimi nitakufanyia hiyo massage, malipo yake ni wewe pia kunifanyia mimi manake nami nahitaji pia,
Nami pia sintokulipa kwani malipo yake ni mimi kukufanyia wewe pia,
Cha msingi tukubaliane tu wapi tutafanyiana hiyo kitu,
 
mkuu acha utani unajua massage ni dawa?
 
Back
Top Bottom