Nyumba ipo kibaha mkoani A au maarufu kama kwa mkuu wa mkoa nyumba ina makaratasi yote ya umiliki yapo umeme na maji vyote vipo ukubwa wa eneo lina upana wa mita 20 na urefu wa mita 30 (20×30)...
Nime-design na kuunda game ya electronics,Game hii niliiwaza na kuiunda hivyo wazo likawa kweli.
Game hii nimeiunda kwa vifaa vya electronics sijatumia programic card yeyote.
JINSI GAME...
Mitsubishi challenger cc 3490 very well maintained, performed well clean For sale. 15,000,000/- call 0713282971
And
Avensis Premium cream leather seats, immobilizer, cc1990, 17 original rims...
TSh400,000
Hii nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fensi ipo mbezi njia ya Goba ina vyumba 3 vya kulala vyumba vyote ni master bedroom, na choo cha public, sebule kubwa, dining room, jiko kubwa la...
TSh350,000
Hizi apartment zipo 4 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio ipo wazi ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule kubwa, dining, jiko na choo cha public maji dawasco masaa...
TSh400,000
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule, jiko lenye makabati, na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 400k x 6 ipo kimara baruti upande wa kushoto km unaelekea mbezi...
Kichwa cha habari kinahusika, Natafuta fundi wa welding mwenye generator na machine ya welding. Mi Naishi mpiji magoe mbezi ya kimara ambako umeme haujafika ninakazi ya siku moja. Ninatafuta fundi...
Habarini...
naomba kuuliza vilipo viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam.
Nina uhitaji wa kufika huko na sipajui,,,
msaada wa maelekezo ya uelekeo...
Nauza shamba langu mwenyewe lipo nala mjini dodoma ukubwa ni heka tatu kila heka moja ninauza laki saba(700000) tu ninauza sababu ya ninaumwa nilipata ajali week iliyopita sasa mfukobumeyumba...
Nimemaliza kidatocha sita mkoani Mbeya wilaya ya Kyela
Lakini sikufanikiwa kupata Chuo ..nikanza kuza vifaa vya simu kama makasha chaji.n.k lakini sijajua sehemu ambapo nichimbo la bidhaa izo kwa...
Habari wakuu,kwa wale wazoefu wa shughuli hasa maharusi,naomba tujuzane kumbi nzuri na bei zake kukodisha,kwa maeneo yoyote hapa Dar es salaam.
Ziwe za hadhi ya juu kabisa na hata za kati.
Naomba...
Heshima kwenu!
Naomba kujua wapi naweza kupata hard tonneau cover / bed cover ya Nissan Hardbody (Double Cab). Mwenye nao au anayejua wapi naweza kuupata tafadhali.
Ninamaanisha mfuniko wa bodi...
Wakuu nauza printer 4 in one yani ina scan,copy,print na fax kwa shilingi laki 760000, imenumuliwa mwaka jana kwa milioni 3 , hii ni Canon MF i5980dw ni wireless unaweza print bila kuunganisha...