House4Rent HOUSE 4 RENT,MBEZI NJIA YA GOBA

cash_money

Member
Mar 18, 2017
42
19
TSh400,000

Hii nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fensi ipo mbezi njia ya Goba ina vyumba 3 vya kulala vyumba vyote ni master bedroom, na choo cha public, sebule kubwa, dining room, jiko kubwa la kisasa na store, kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 20 kwa miguu na kutoka Goba road hadi kwenye nyumba ni dk 3 tuu kwa miguu bei ni 400k x 6 nyumba mpya kabisa tupigie 0759787679
IMG_5826.JPG
IMG_5827.JPG
IMG_5828.JPG
IMG_5829.JPG
IMG_5830.JPG
 

Attachments

  • IMG_5826.JPG
    IMG_5826.JPG
    213 KB · Views: 35
  • IMG_5827.JPG
    IMG_5827.JPG
    101.1 KB · Views: 34
Back
Top Bottom