Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Wakuj kwa yeyote mwenye kujua bei pia aina za mashine nzuri zenye uwezo wa kushona viatu naomba mawazo yenu tafadhali
vipi mkuu ulifanikiwa? naomba tuwasiliane tafadhali
Naomba kujuzwa bei pia mkuuMkuu naomba tuwasiliane kwa pm ,niko interested pia kwa hili.