Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wana JF Nauza gari TOYOTA BREVIS hapa Dar nambaT 201 CTH. Rangi ni Pearl. Bei ni tsh ml.10.5. Kwa mhitaji serious namba yangu ni 0713 810803
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wandugu salaam Nauza gari langu moja Toyota Brevis no T 214 CTH.Lina CC 2500 na Pearl colour Halijawahi kupata ajali yoyote. Lipo Dar na bei ni Ml.7.7 tu. Kwa mhitaji serious anitafute katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow Wakazi wa MWANZA kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
habari wadau naomba kujua bei ya kifusi maeneo ya wazo au madale.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Plumbing & pipe fittings tunatoa huduma za kuweka mabomba ndani ya jengo / nyumba fittings za maji safi Hot water & cold water Pia drainage system. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
890 Views
jenereta used kv 1 bei 110,000 hadi 100,000/= kabati milango miwili- 150,000 hadi 135,000/= mwisho makabati ya steshenari kuna ya 220,000/= na ya 180,000/= compaq hp- pc peke yake 160 gd-hdd, ram...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau, Kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari wana jamvini Napenda kuwaletea vitu hivi kwa gharama nafuu tofauti na sehemu zote 1,ni mashine ya kujazia upepo ambayo utatumia umeme wa gari yako tu,hivyo utapopata shida ya gari hakuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini,wana jamii forum leo nimewaletea biashara ya nyumba maeneo ya Tabata kisukuru...ni nyumba yenye(vyumba vitatu,kimoja ni master badroom) Vile ndani ya hiyo hiyo nyumba kuna public toilet...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF wenzangu, Natumaini hamjambo. Baada ya uhamisho wa kikazi, kunakopelekea kuhama pia makazi nje dar. Nimeamua kuliuza shamba langu, Lina ekari 8. Shamba Lipo wilaya ya Kisarawe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Gari inauzwa haina tatizo lolote. haijawahi kupata ajali bei 8M Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Bei sh. 395,000/= Ipo kwenye hali nzuri haina tatizo kabisa Kwa anaeitaji Mazungunzo yako karibu sana Call me 0717751644 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Basi shaka ondoa Perfect digital satellite ndo suluhisho la tatizo lako kwani tumebobea kwenye ufungaji wa madish na aina zote kurudisha signal zilizo potea pia tunafunga tv ukutan Piga...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Nimefulia jamani. Natafuta laptop nina laki na nusu.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu Kuna nyumba iko sinza madukan karibu na kanisa la wa sabato Ina room 2, jiko, sebule, maji na umeme wa luku, bei yake ni laki 4 kwa mwez na mm nimelipa kwa miez 6 mpaka December mwaka huu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
Gari ipo katika hali nzuri Aina: Toyota Passo CC: 990 Model: 2005 Mahali ilipo: Dar Bei: 4.5milioni Engine Capacity: Piston 3
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi Karibu ujipatie dagaa kutoka Kigoma kwa gharama ya elfu 16 tu kwa kilo, dagaa wanakuwa wameshapakiwa tayari na ninawauza kwa kilo kilo ni wasafi hawana michanga na kwa wale wa...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Gari ndogo ya kukodi inahitajika kwa matumizi ndani ya Dar es Salaam. kama unayo nitumie message inbox kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Habari wana JF. Jipatie sabuni za Magadi maarufu kama sabuni za Kigoma. Katoni 1 kwa bei ya jumla ni 30,000Tsh inakaa mishe 20. Rejareja tunauza kuanzia miche 5 kwa bei ya 2,000Tsh kwa mche...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Back
Top Bottom