For Sale,
Toyota Harrier.
Model 2000
Km 148K
cc 2200
Ipo Dar es Salaam, Mbezi juu (Goba).
Asking price , 12 Mill, maongez yapo.
ina comprehensive insuarance inaisha mwakan July.
PM for more details.
Wakuu salamu. Shamba lipo Kibiti-Shinyanga, 10km toka barabara iendayo Mtwara... Shamba ni safi na linafaa kulima ufuta, kuna nyumba... Ukubwa wa shamba ni heka 30... Bei ni 12ml. pungufu...
Bado mpya kabisa,
Ipo dodoma mjini,
Feature:
1.SMS Tracking:this tracker can reply the position information to the admin number with google map link.
2.GPS,AGPS and LBS positioning...
Kama kichwa cha habari kisemavyo nauza Shamba langu ambalo lina ukubwa wa ekari 6 Shamba lipo kijiji cha kipangu ushetu Kahama Shamba lina lutuba yakutosha na linafaa kwa kilimo na mkazi bei ni...
Wakuu kutokana na vyuma kukaza ninauza Shamba langu ambalo ni ekari 8 Shamba lipo Kahama kijijini linafaa kulimwa mazao yote bei ni laki 300000 kwa ekari karibuni sana
Kama kichwa cha habari kilivyosema nauza shamba langu ekari kumi lipo kahama bei ni milioni 7 tu shamba linakubali kulimwa mahindi maharage pamba karanga nk
wakuu salaam zetu.
ninauza pikipiki
bei 2.6m
150cc
imetembea 1577km.
automatic
ipo dar,warehouse
Hii pikipiki haijatumika Tanzania.kwa maana hyo bado haijasajiliwa.pikipiki ni imara ,inatulia...
Habari wakuu,
Natumia nyote mko poa. Bila kupoteza muda niende kwenye mada.
Nahitaji kujua ni wapi naweza kupata sehemu wanafundisha utengenezaji wa website na application kwa Dar. Hapa...
Wakuu habari za leo..kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye nayo tuwasiliane pm.dar ni rahisi zaidi kufanya biashara,iwe kwa kwenye hali nzuri na vibali vilivyokamilika,nawasilisha.
Sent...
Habari!
Afya ni jambo la msingi na muhimu sana ili kuweza kuendelea na shughuli zako za kila siku na kuwa mtu mwenye furaha,na ndio sababu sisi tuko hapa,ijali afya yako ukiwa nyumbani kwa kupata...
1.SIMPLE WEBSITE
Hii simple website hatutengenezi kwa gharama kubwa kwasababu inamuonekano mzuri lakini haina vitu vingi ndani yake.
Itakuwa hivi ikishakamilika,
-Domain name yako.. mfano-...
Tsh500000
Hizi ni apartments 2 mpya kabisa,ina vyumba 4 vya kulala,viwili ni master,jiko na sebule kubwa sana,umeme na maji ni vya kujitegemea,nyumba IPO kimara stop over upande wa kulia ukitokea...
Tsh300000
Hizi apartment zipo 4 kwenye kampaundi moja apartment moja ndio ipo wazi ina vyumba 2 vya kulala HAKUNA MASTER, sebule, jiko na choo cha public maji dawasco masaa 24 bei ni 300k x 6 ipo...
Tunatoa huduma zinazopatikana BRELA, Idara ya uhamiaji na Mifuko ya hifadhi ya jamii(kwa makampuni)
1.Huduma za usajili wa makampuni na majina ya biashara katika mfumo wa ORS
2.Huduma za uhakiki...
Nina apartment nzuri sana Mbeya Sae karibu na pipeline,chumba self na sebule,zipo ndani ya uzio,maji na umeme 24/7 barabara nzuri.Bei kuna za 50000,choo cha nje,80,000 na 100000,hakuna...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Kitanda na Godoro futi 5 kwa sita used.
Bei 220,000/-tsh pungufu tunaongea.
Location: Mbagala Mission
Mawasiliano: 0752659410
Nimeambaanisha na...
Habari za leo wadau,kwa wale ambao mnajenga nyumba kwa ajili ya makazi au biashara basi msisite kututafuta kwa ajili ya kuwapatia milango bora ya mbao ngumu(Mninga na mkongo)Milango yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.