hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,952
- 9,834
Wakuu Kuna nyumba iko sinza madukan karibu na kanisa la wa sabato Ina room 2, jiko, sebule, maji na umeme wa luku, bei yake ni laki 4 kwa mwez na mm nimelipa kwa miez 6 mpaka December mwaka huu Sasa nahamia dodoma Nataka mtu ambae atanirudishia 1.5m Ili akae