Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza Sony Camera ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Isipokuwa inayomichubuko kidogo katia body tu na sio screen lakini haina kasoro katika ufanyaji kazi.Na rangi yake ni pink.Ilitumika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1 acre- A Surveyed Beach Plot with beautiful beach view at Buyuni 48km from Feri kigamboni.Has clear documents. Tsh 135Mill.Cont; 0683715304
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Picha hiyo hapo chini inaweza kukusaidia kujua aina za nywele ulizonazo. Njia nyepesi ya kujua aina ya nywele ulizonazo ni zikiwa zimeloa(wet). Zinapoanza kujikunja ndipo utajua aina za nywele...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pikipiki aina ya Boxer ikiwa na mwaka mmoja inauzwa kwa bei ya sh 1,500,000/=. Haina tatizo lolote la kiufundi. Inapatikana Mtoni Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[emoji815]Hii ni set ya mtu wa miaka 40 na kuendelea.. [emoji815]Ni moja ya set ambayo tunaiuza kwa wingi sana na inapendwa sana sana.. [emoji815]Hakuna mtu anayependa kuzeeka, kila mtu...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Helo, Natafuta spea za mazda familia s-wagon, naombeni kujuzwa naweza kuzipata wapi hapa tanzania, hasa shockup, taa, na vinginevyo vingi tu
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nawasilisha ombi la kuwepo kwa uzi huu ambao utatuwezesha wenye maduka ya mahitaji ya nyumbani na pia wanaouza bidhaa za aina hiyo kwa bei ya jumla kuweza kutangaza bidhaa zao. Kupeana uzoefu na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
bei : Millioni nne bila kupunguza wala kuongeza wala dalali. ukubwa: Hekari Mbili mahala: Bagamoyo, Kiwangwa kilometer tatu kutoka mjini na barabara ya lami. usalama wa mauzo: Lazima husishe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam juzi ilitangaza ofa ya chumba cha Sh22.4 milioni katika Usiku wa Valentine na kusema kuwa Watanzania mbalimbali wamekuwa wakipiga simu kutaka kujua...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Nauza kabati la kuuzia chipsi kwa shs 90 elfu .lina shelfu mbili tuuu mahali ni gongo la mboto dar, nichek 0744731108
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za muda huu naomba kujua bei ya kisimbusi cha azamtv pamoja na dishi lake kwa dar es salaam
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu, wakuu. Hinaitajika nyumba yenye sifa zifuatazo, 1: Nyumba iwe na fensi na geti lake(ijitegemee) 2: Vyumba 3/4(vyote viwe master na vikubwa) 3: Sebure, jiko na dining(ziwe kubwa). 4...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inauzwa: MAKE: Daihatsu MODEL: Terios MODEL NO: GF-J102G BODY TYPE: Station Wagon TRANSMISSION: 5 Speed, Manual (4WD) COLOUR: Black YEAR OF MANUFACTURE: 2000 ENGINE: K3 ENGINE CAPACITY: 1290cc...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
viwanja vinauzwa vinapatikana vikindu kisemvule 50×40 ft eneo tambarare halina mabonde wala milima huduma zote za kijamii zinapatikana karbu kwa maelezo zaidi piga 0679113190
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Message… kiwanja kinaukubwa wa 50×80m kinafaa kwa makazi ya watu na huduma za maji na umeme zinapatikana barabara nzuri ya kupitika hadi kwenye eneo piga simu kwa maelezo zaidi 0679113190
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Anglia mpira wa Ulaya na movies za Hollywood... kwa kufungiwa dish kiustadi na mafundi waliobobea... Sport24, Sony ESPN, HBO, PIX, Animal Planet, Investigation Discovery, Discovery Science, TLC...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Shamba linauzwa Eneo: Mbwewe -njia ya kwenda Tanga mbele ya msata Km tano kwanzia barabarani Ukubwa: heka 20 Bei: 200,000 heka moja Makubaliano: Lipa kwa awamu (instalments) ila unaanza na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
NATAFUTA GARI YA KUNUNUA AINA YA SUZUKI SWIFT NINA MILION 4. Suzuki swift au K. Kama unayo nicheck kwa namba hii 0715 025947
2 Reactions
43 Replies
16K Views
Ni hos power 1 Ili toka India,iko vizuri kabisa haina shida yoyote Bei 180,000/ Kwa mawasiliano piga 0715591141 Ova Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa nahitaji chumba na sebule choo ndani na maji maeneo ya kipawa hadi banana au njiapanda segerea hadi tabata bei isizidi 70000kwa mwezi.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom