Weka order ya vitu hivi kwa bei sawa na bure

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,876
Reaction score
10,201
Habari wana jamvini
Napenda kuwaletea vitu hivi kwa gharama nafuu tofauti na sehemu zote

1,ni mashine ya kujazia upepo
ambayo utatumia umeme wa gari yako tu,hivyo utapopata shida ya gari hakuna haja ya kusumbuka kwa wajaza upepo bali unajijazia mwenyewe
Hizi ntaziuza kwa gharama ya efu 90 tu.

2 SCREEN MAGNIFIER
Hii ni special kwa wale wapenzi wakuangalia movie au miziki katika simu zao kupitia kifaa hiki utaweza kuichomeka simu yako kwa nyuma kisha video unayotaka kuiona kwenye simu ukaiona kwenye kioo kikubwa kama uonavyo pichani bei yake ni elfu 35 tu

3,LAPTOP BAG
Bag hizi ni original na zinasifa ya kutokuingiza maji hivyo unaweza kutembea nayo hata kwenye mvua,na pia zina power bank ambayo itakusaidia kuweka chaji endapo simu yako itakuwa haina chaji
Gharama ya begi ni elf 50 tu

4,wallets za kike ambazo utakuwa na uwezo wa kuweka kiasi cha pesa cha kutosha pamoja na kuweka kadi zako mbali mbali za muhimu utazipata kwa gharama ya elfu 30 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndo mashine za upepo
1534600360259.jpg
1534600368017.jpg
1534600375134.jpg
1534600382025.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edit title iwe. Tunauza video ya simu, begi ya power bank na Pampu ya umeme ndogo
 
Back
Top Bottom