Nahitaji Fundi Gari wa mfumo wa mafuta

Nahitaji Fundi Gari wa mfumo wa mafuta

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,806
Reaction score
2,724
Habari wakuu
Kuna bajaj hizi mbili zinatumia mfumo wa nishati ya kuchaji kwa umeme kila baada ya masaa tisa. Hivi sasa nataka niunganishe mfumo wa kawaida wa nishati ya mafuta (petrol au diesel).Naomba msaada wenu juu ya wataalamu wanaofanya hizi shughuli.

Namba yangu ni :0713-039875
WhatsApp Image 2018-09-02 at 09.30.30.jpeg
WhatsApp Image 2018-09-02 at 09.30.32.jpeg
WhatsApp Image 2018-09-02 at 09.30.37.jpeg
WhatsApp Image 2018-09-02 at 09.30.33(1).jpeg
 
Peleka NIT wakachokonoe wahandisi au pale DIT hawa wa kijiweni watachokonoa halafu utakula hasara.Inatumia gearbox yake inaendeshwa kwa mota ama?Kama Gearbox inaendeshwa kwa motor ina maana inabidi uangalie hio gear box mfumo wake ukoje then ndo utajua kama uifanye hybrid au uondoe mfumo wa umeme kabisa.Mimi ni fundi magari mzuri theoretically
 
Mmi naiweza hyo kaz natoa mfumo huo nakuwekea mfumo WA gar nafunga pump ya gar
 
Back
Top Bottom