milanga ally
Member
- Sep 12, 2018
- 13
- 4
Unanyoosha vizuri boss wanguMkaa huu unaweza kunyoshea nguo?
Mjibu Mdau huyo hapo juu basi.Unanyoosha vizuri boss wangu
Kwa kutumia taka za miti na makalatasi kwa ajiri ya kuokoa mazingiraHuu umetengenezwaje mkuu
Mkaa huu hauna majivu mengi na ni bora kwa mazingiraunamajivu sana
TayariMjibu Mdau huyo hapo juu basi.