Vapor_headlight_cleaners

Vapor_headlight_cleaners

Chief Bogo

New Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
3
Reaction score
7
Je Unachukizwa na unjano, ukungu, uchakavu au taa zinazofifia kwenye gari yako? Usinunue taa mpya.. tuna suhulisho la kudumu kwa tatizo la taa zako... tunang'arisha na kuzifanya ziwe na safi na mng'ao kama mpya, utakaokufanya ufurahie tena muonekano wa taa za gari yako
**TUNAPATIKANA SINZA KWA REMMY PIA TUNAWEZA KUJA KWA MAKUBALIANO KUKUHUDUMIA PALE UTAKAPOHITAJI
Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi Kwa Namba 0716662081 au ‭0652770067‬
•WOTE MNAKARIBISHWA•
ebe44fb4-838c-40ec-873b-a141a335299d.jpg
IMG_0337.JPG
IMG_0356.JPG
IMG_0357.JPG
IMG_0360.JPG
IMG_0275.JPG
IMG_0277.JPG
 
Safi sana, hicho kifaa cha kusafishia kinapatikana wapi na kinauzwa shilingi ngapi.
 
Safi sana, hicho kifaa cha kusafishia kinapatikana wapi na kinauzwa shilingi ngapi.

Vinapatikana pia ukihitaji tunakuuzia 350,000 kwa kit nzima ambayo inakuwa na kettle, sandpaper na sandpad, mask 2 hiyo chemical ya kusafishia na adapter yake
Waweza nicheki Kwa maelezo zaidi kwa namba 0716662081
 
Shukran mkuu, ngoja nijitafute nikucheki na mimi nile vichwa huku mkoani.
 
Back
Top Bottom