Dryer ya kukausha vyakula, mboga, samaki, nyama nk

Dryer ya kukausha vyakula, mboga, samaki, nyama nk

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,898
MZIGO MPYA: DRYER YA KUKAUSHA mbogamboga, matunda, nafaka, samaki, nyama nk. Inatumia umeme, ina trays 16 za kukaushia. Material yake ni mazuri mno Stainlessteel 304. Bei Tsh 1,450,000. I
fe974f59ebae98dcbc2fd4f6b9834775.jpg
po tayari dukani DSM Kinondoni Mkwajuni nyuma ya CCM, lilipo tawi la timu ya Simba (utaona bendera nje). Mikoani tunatuma. Tupigie THE BRIDGE 0715316614. [HASHTAG]#fooddryer[/HASHTAG] [HASHTAG]#fooddehydrator[/HASHTAG] [HASHTAG]#newarrival[/HASHTAG]
 
Ok.. Hakuna za sola au dizeli?
Hivi mboga na matunda ya kukausha yana soko?
 
hii mashine nahitaji ila bei mkuu umepiga sana.
pole, zimeshauzwa zote, na hizo ndio bei zake kwa kuzingatia capacity yake, hizo ni 16 trays huwezi kupata kwa bei rahisi na pia hiyo ni 304 stainless steel material, sio bati la kupata kutu kirahisi. wiki hii zitafika ndogo yake 5 trays hizo ndio zitakuwa bei ya chini ila ni NDOGO. ukihitaji kubwa karibu dukani uweke oda tutakuletea au wasiliana nasi kwa namba zetu hapo juu.
 
samahan naomb kuuliza, sasa hzo mboga au matunda vikisha kaushwa vinalika kweli, kvp?
 
Back
Top Bottom