Hello wana jf..
Nauza viwanja vya beach vipo viwanja 34 vyenye ukubwa tofauti kuanzia sqm 600 viwanja viko puna kigamboni dar es salaam..umbali kutoka ferry ni km 40,bei ni sh 8000 tu kwa sqm...
Habari za majukum u wadau, katika pita pita zangu mitaani nikagundua watu wa ili eneo niliyopo wanahitaj kubwa sana wa cd za bongo movie na zilizotafsiliwa so nataka nifungue library ili iweze...
Ndg wadau, tumekuwepo hapa kitambo tukinadi shuguli zetu za upakaji rangi kwa materials mbalimbali , baada ya wateja kuwa na imani na sisi, tumekuwa tukiulizwa maswali mengi yanayohusu masuala ya...
Habarin Wakuu,
kama kichwa kinachojieleza hapo juu ... specifications ya gari hiyo ni ,
cc. 2980
fuel; Diesel
Trans; auto
millage; 113,000kms
Price; 18M( maelewano yapo)
contact; 0758975807...
Shamba lenye ukubwa wa ekari 10 linauzwa manispaa ya morogoro,sehemu inaitwa CCT karibu na kwa (RAS) mtu maarufu eneo hilo.kwa mawasiliano zaidi.
Phone no:+255756670101
Habari wana JF?
Outbox Tanzania ni kampuni inayodili na mambo ya Graphics & Designing, ofisi yetu ipo Sayansi Kijitonyama karibu na kanisa la KKKT Kijitonyama.
Outbox Tanzania inatoa huduma...
Unataka kuanzisah Mradi au una wazo la Mradi ambalo unataka kuliendeleza? Nikuhakikishie tu kwamba kwa Miradi ya kiubunifu (Innovative Projects); ruzuku zipo kutoka kwenye Taasisi za ndani (Local...
Pata huduma zifuatazo kwa gharama nafuu SANA;
Uibuaji na uandishi wa michanganuo ya Miradi (Socioeconomic, political and artistic project proposals)
Uandaaji wa Mipango Mkakati (Strategic...
Naitaji kuanza kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya biashara
Lengo la kuanzisha uzi huu ni ili nipate elimu kwenu wanandugu ya aina gani ya kuku watakuwa na tija kwa kufuga ambao watataga sana na...
Wakuu, samahani kwenu wote kwa kuchukua muda wenu kidogo kwa kuisoma hii thread yangu.. Mimi naishi Dar es salaam ni kijana mdogo tu, natafuta kazi ya udereva kwa gari iliyosajiliwa uber au hata...
Habar wakuu,
Bila dalali kuhusika,inahitajika nyumba yenye sifa zifuatazo
Vyumba vinne(master)
Full tiles
Maji ya uhakika
Parking nk.
Iwe maeneo ya Tabata kimanga,kisukuru,external,tabata...
Kama kichwa kinavyojieleza nyumba ya vyumba viwili sifa za hiyo nyumba kuna vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master pia kuna choo cha public kiko ndani na pia kuna sitting room kubwa na yenye...
Wakuu Habari, Naitaj mtu anaye weza na mwenye mtaj wa kufungua M- pesa, Tigo-pesa na airtel - money, eneo ni mbez beach bonden, Karibu na kambi ya jesh lugalo. Mwenye uhitaj Pg no 0759657178...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.