Page 1 of 2
11 Septemba 2018
TAARIFA KWA UMMA
Kampuni ya Maxcom Africa PLC – Maxmalipo inapenda kuutaarifu umma
kwamba, imeongeza huduma mbalimbali kupitia kwa mawakala wake wote
wa...
Habari ya asubuhi wana jf.
Napenda kupata ushauri ninunue generator ya Kv ngapi inatayoniwezesha kupata mwanga na matumizi mengine ya nyumbani kwa kipindi hiki make umeme bado haujafika ktk eneo...
Karibu waika's gallery..hapa utapata bidhaa zetu kwa rejareja,tupo dar pia tunatuma bidhaa zetu kwa wateja wa mikoa mingine .
Bidhaa zilizopo kwa sasa:
Handbags :
zinatengenezwa hapahapa...
Sina hela ya kununua gari kutoka Japan,wala kwenye maduka ya magari hapa nchini,nina shs 3000000,natamani kumiliki ist ambayo haijatumika sana,najua wapo watu,wanamagari ya aina mbalimbali pamoja...
Habari wakuu,
Naombeni kujuzwa wa ntapata godoro bora pande za hapa Dar.
Ntashukuru sana mchango wenu ukiambatana na bei
ila napendelea size 5 by6.
Nawasilisha.
Wasiliana nasi, tuweze kukuhudumia.
Njoo na mahindi yako, tutakukobolea na kukusagia kwa gharama nafuu.
Huduma hii ni kuanzia tani 1 maana mashine zetu zina uwezo mkubwa wa kukoboa zaidi ya tani...
Habari wakuu..
Natafuta chumba cha kupanga kuanzia mitaa ya Mlimani city, Mori, Rufungira, Kwa Remi mwisho makaburini na mitaa karibu na hapo.
Chumba kikubwa na self contained kitapendeza zaidi...
Habari wanajf.
Nimejenga kisima cha chini kwa ajili ya kuvuna maji ya mvua. Maji hayo nayapandisha kwenye tenki la juu ili kutumia ndani. Sasa pump yangu ya kudumbukiza kisimani iliharibika fundi...
wadau ,nafanya biashara ya mikoba ya mtumba yaan pochi za kike mix na mabegi ya shule hapa dar.nahitaji kujua wap ntapata mabelo ya mikoba mtumba nje ya Tanzania Kwa bei ya chini tofauti na ya ya...
Tunatoa huduma za ulinzi na usalama zenye viwango vya kimataifa na za uhakika, kwa bei zinazostahimilika.
Kwa,
Physical security (Manned Guards)- Normal/Armed/Dog
Access control systems
Intruder...
Wakuu salama,
Naomba kujua ni Duka gani au suppliers gani wanavifaa vyote vya solar toka ujerumani!
Nimekuwa specific nataka vya kutoka ujerumani, naomba msaada wenu, ahsante sana!
Nawakisha...
salaam,
nyumba inauzwa ipo ukonga, kichangani (kituo cha madafu)
ni nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, jiko na choo.
MAELEZO mengineyo.
ina eneo lenye ukubwa wa...
Ni nzito imetengenezwa kwa matunda halisi no added flavour
Usafi umezingatiwa.
Unaletewa na take away cup 12
Utaenjoy kama bachelor au na familia yako week nzima.
Dumu unabaki nalo...
Pata mkaa wa kisasa unaodumu kwa muda mrefu kwa kupika chakula kingi na husio na Moshi being ni Tsht 700 kwa kilo moja pia kwa gunia ni 70000 tu karibuni tupo Mwanza simu namba 0758381277
Habar , nahitaji dalali ambae yuko tegeta anitaftie chumba cha kupanga ndani ya geti baget ef 50 maeneo tegeta, kisiwe mbali na kituo nikipata master poa
Tenda ni kubeba Makaa ya Mawe Kutoka Songea Tz kwenda Kampala Ug. Gari zinahitajika za kutosha na ofa yetu ni nzuri pia mzigo ni wa muda mrefu kwa maelezo zaidi
#0657385506
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.