Online pizza/fast food ordering system 0654262419

rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
376
125
Kwa anayehitaji web based system tajwa hapo juu ninayonauza. System imetengenezwa kwa technolojia ya php and mysql.
Inatumia simple mechanism, yaani mteja anaingia kwenye system, anajirejista then anaagiza chakula, baada ya muda kidogo mteja chakula kinamfata alipo.

Mmiliki wa mgahawa ataingia kwenye sytem, ataona order ya mteja then ataconfirm na kumpelekea mteja order yake
vilevile mmiliki wa mgahawa anaweza ingiza vyakula vyote alivyonavyo ili mteja aweza kuchagua, pamoja na kuweka promotions/discounts.

Inafaa kwa migahawa ya aina zote yaani online pizzeries, bulgur ordring, chips ordering, bakery ordering, drinks ordering, milk ordring etc.

Support Tanzanian programmers, buy the softwares made in Tanzania!

- See Screenshots...

View attachment 269236View attachment 269237View attachment 269238
 
Hao wateja wanalipiaje......?......maana kwa TZ ni lazima mteja alipe kwanza ndio apate huduma.........hata wanaotumia hiyo huduma huko nje ni hivyo.........
Na kwa hapa TZ.........address naweka vipi ili delivery man anipate........?........
 
ok kwa tanzania malipo yanafanyika in pickup mode /delivery mode............yaani mteja atakulipa ukimfikishia order yake
na kuhusu delivery mteja atajaza address anapotaka order imfate...........malipo ya mpesa tigo na airtel money ndo yanafaa zaidi
 
Ungejaribu kuona mazingira yetu ya kitanzania na mahitaji ya msingi ili kupanua wigo wa uuzaji programu yako.
ok nimeadopt mazingira ya tanzania kwani malipo yanafanyika in pickup mode/delivery mode na transaction ni local mobile money
 
ok kwa tanzania malipo yanafanyika in pickup mode /delivery mode............yaani mteja atakulipa ukimfikishia order yake
na kuhusu delivery mteja atajaza address anapotaka order imfate...........malipo ya mpesa tigo na airtel money ndo yanafaa zaidi

Mkuu.......unadhani ni rahisi hivyo kwa malipo unavyofikiri........?.......binafsi kama nina biashara ya kuuza online.........nitataka mteja alipe kwanza........Ili niwe na uhakika wa kuuza..........
watu wengine ni wa ajabu........anaweza kuorder kwa kujaribisha aone itakuwaje.........na akupe address ya uongo.........au ambayo haieleweki.........hiyo hasara unapeleka wapi kama hakulipa mwanzo.......?.......wenzetu wanatumia GPS kufika address husika.........hapa kwetu unafanyaje............?......let's say naishi Manzese au Gongo la Mboto na nahitaji huduma........?.......
 
Sawa........
nitumie hapa......

Preta el Chapo
p.o.box 254
Dar Es Salaam
Preta biashara ya pay on delivery tanzania ipo sana na kadri siku zinavyozidi kwenda inazidi kukua,alichoeleza mkuu hapo tayari kipo na kina work out tena saaana,mfano hello food wapo na migahawa yote hapa town na wanapiga bao la kisigino,na tunaposema pay on delivery sio kwamba system imekaa pasipo kuzungumza,ni hivi mteja kapress oda mfano wa io piza,ile system imekuwa developed kwamba anajaza taarifa zake alipo lkn lazima na mobile namba ajaze,meanwhile wewe muuzaji unakuwa na mtu wa customer support ambae kazi yake ni kufanya confirmation ya uhakika wa mteja,kwamba ni kweli kaweka oda?Je saa ngapi au lini io oda anaitaka apelekewe? Then katika maongezi ana take notes za mteja alipo na jengo gani maarufu lilipo pembeni yake au stand ya daladala n.k lkn msisitizo ni kumsisitiza mteja asizime Simu coz ile oda atakapo pewa mtu WA delivery inakuwa rahisi zaidi kumfikia,i wish nikuoneshe system yangu how it works but mimi siuzi chakula,na evaluation ni 97% orders zote zimefanikiwa,mtu anaeweza kuweka order mara nyingi ni mtu ambae yupo serious na anachotaka na pia ni mtu ambae yupo aware na io service
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa kunielewesha........lakini bado sijaridhika.......coz umesema huuzi chakula..........
wacha tusubiri atokee anaeuza chakula.........then nitamuuliza maswali yote niliyo nayo..........
kwa bidhaa zingine sawa..........lakini kwa chakula.......bado nakuwa mzito kwa hapa kwetu...........
 
mkuu thanks kwa kuwathibitishia wadau kwamba pay on delivery inawezekana in tanaznia na iko secure
 
Asante kwa kunielewesha........lakini bado sijaridhika.......coz umesema huuzi chakula..........
wacha tusubiri atokee anaeuza chakula.........then nitamuuliza maswali yote niliyo nayo..........
kwa bidhaa zingine sawa..........lakini kwa chakula.......bado nakuwa mzito kwa hapa kwetu...........
kama una wasi wasi pay on delivery then naweza kuifanya iwe pay first then order is deliverred......kama utapendelea watumie paypal sawa, master card ni sawa pia
 
Mkuu.......unadhani ni rahisi hivyo kwa malipo unavyofikiri........?.......binafsi kama nina biashara ya kuuza online.........nitataka mteja alipe kwanza........Ili niwe na uhakika wa kuuza..........
watu wengine ni wa ajabu........anaweza kuorder kwa kujaribisha aone itakuwaje.........na akupe address ya uongo.........au ambayo haieleweki.........hiyo hasara unapeleka wapi kama hakulipa mwanzo.......?.......wenzetu wanatumia GPS kufika address husika.........hapa kwetu unafanyaje............?......let's say naishi Manzese au Gongo la Mboto na nahitaji huduma........?.......

ni rahisi sana...........any way naweza kukutengenezea vyovyote ambavyo we
unahisi inakufaa
 
Asante kwa kunielewesha........lakini bado sijaridhika.......coz umesema huuzi chakula..........
wacha tusubiri atokee anaeuza chakula.........then nitamuuliza maswali yote niliyo nayo..........
kwa bidhaa zingine sawa..........lakini kwa chakula.......bado nakuwa mzito kwa hapa kwetu...........
hii ipo sana tu hello food wanatufanyia delivery bila tatizo,
 
Kazi nzuri ila ujafanya feasibility study ya kutosha mfano mm npo mbeya mgahawa upo dsm je nikiagizia chakula utaniletea ok may be mm npo kko mgahawa upo kimara nikiagiza chakula nile fasta utaniletea siku zote ICT solve problems by develop software lakini wewe iyo software yako itamuongezea stress client na user soma sad or system analysis and developmen
 
Coding isnt first thing in designing and development of software lazma uanze na analysis ya problems kwanza kuliko wewe nakushauri project yako ime fail aiwezi msaidia client labda ubadilishe iwe ya vitu visivyo haribika mfano electronics device nguo nk
 
Kwa iyo jaribu kufanya utafiti kwanza ila iyo project yako n painful and cost 2 wenzetu ulaya wana tumia address pia hakuna foleni pia uyo mwenye mgahawa inabidi awe na branch nyingi au mobile cafe kwa iyo total ime fail kwa mazingila ya hapa tz ila upande wa kodi nakupa big up next time angalia vizuri
 
Nimegundua kwenye jamii wako ambao wanakata sha watu tamaa mnoo ukiwa unafata kila kinachoongelewa huta songa mbele na kutimiza maneno yako.
Big up mtoa mada, hi 5 to Hello food tumeshuhudia na tumejionea kwa macho.

Kasie.
 
Kwa bidhaa aina nyingi hiyo kitu inawezekana, ila kwa chakula kitasumbua manake kinahitaji at least 1hr after kupikwa kimfikie mteja, ili ale kikiwa fresh na akifurahie

Only way ni kuwa na genuine customers tu
 
Back
Top Bottom