Habar , nahitaji dalali ambae yuko tegeta anitaftie chumba cha kupanga ndani ya geti baget ef 50 maeneo tegeta, kisiwe mbali na kituo nikipata master poa
Tenda ni kubeba Makaa ya Mawe Kutoka Songea Tz kwenda Kampala Ug. Gari zinahitajika za kutosha na ofa yetu ni nzuri pia mzigo ni wa muda mrefu kwa maelezo zaidi
#0657385506
Je Unachukizwa na unjano, ukungu, uchakavu au taa zinazofifia kwenye gari yako? Usinunue taa mpya.. tuna suhulisho la kudumu kwa tatizo la taa zako... tunang'arisha na kuzifanya ziwe na safi na...
Habari wakuu
Kuna bajaj hizi mbili zinatumia mfumo wa nishati ya kuchaji kwa umeme kila baada ya masaa tisa. Hivi sasa nataka niunganishe mfumo wa kawaida wa nishati ya mafuta (petrol au...
MZIGO MPYA: DRYER YA KUKAUSHA mbogamboga, matunda, nafaka, samaki, nyama nk. Inatumia umeme, ina trays 16 za kukaushia. Material yake ni mazuri mno Stainlessteel 304. Bei Tsh 1,450,000. Ipo tayari...
Heshima kwenu wakuu, ninauza majiko ya kisasa kabisa ya mkaa yaliyo buniwa US kwa madhumuni ya kukupunguzia matumizi ya mkaa na kukuokolea muda wa kukaa jikoni.
Jiko hili mbali ya kukupunguzia...
Ninauza compressor used ila haijatumika sana hii ni maalum kwa matumizi ya Maabara na kwa madaktari wa meno, Aina JUN-AIR Model: OF1202 - 40BD, bei ni Millioni 1, hii compressor bei yake...
Masomo ya preform one kwa mwaka huu 2019 yameshaanza! Masomo yanayofundishwa ni english course, mathematics, biology, chemistry, geography na phyisics!! Tupo kinondoni mwananyamala mkabala na...
BIDHAA/ MAHITAJI YAFUATAYO YANAPATIKANA PIGA/ SMS 0621 258 157
TSh100
Dar es Salaam, Tanzania
printer ya epson l 805 (sifa yake inasafisha picha zote kuanzia ukubwa wa A-4, 5*7, 6*8, PASSPORT...
Wasalaam Wakuu,
All is Well.
Husika na kichwa cha habari....kijana mwenzenu nimejichanga vihela kadhaa na kutaka kufungua biashara ya car wash nijikwamue ki uchumi hapa jijini Dar.
Vifaa na...
Naomba kujua mahitaji na gharama (minimum cost) ya mashine ya kutengenezea mkaa mbadala inayoweza kuzalisha kati ya gunia 10 hadi 20 kwa siku....pia naomba kufahamu mahitaji mengine...
Habari wadau,
Wakuu nauza kiwanja mbezi malamba mawili kina upana wa 20m kwa urefu wa 27 kipo eneo lilichangamka sana, ni umbali wa mita 300 kutoka barabara kubwa mpya ya lami ya kinyerezi mbezi...
Viwanja vipo Kigamboni Mbutu-Mkwajuni. Vimepimwa na vina mawe, Mnunuzi atamalizia kufwatilia Hati (Title Deed) kwa jina lake.
Vina ukubwa tofauti tofauti , umeme umefika na panafikika kiurahisi...
Sisi ni wajasiriamali kutoka Dodoma tuna wine yetu (semifinished)..ziko zaidi ya liter 100,000 ambazo ni pure.na tumetageti zaidi wanaofanya packing na wanywaji wengine.tunauza kuanzia liter...
Halow wadau,
Kuna jenereta LD Motors toka Asia zinauzwa kwa bei ya jumla yaan million moja laki mbili badala ya million mbili, tuna clear mzigo kuimport mwingine, ukinunua zaid ya kumi unashushiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.