Niuzie laptop budget 700k-800k

Mkuu umebugi ungesema tu unahitaji laptop..
Umeandika bei hata mtu anaeuza laptop yake 500k atasema 700k..

All in all kwa bei hiyo unapata nzuuuuuri ya dukani ..its better uende dukani..
 
Uzuri nalijua soko la laptop kwa hiyo mtu akizidisha bei najua
Nimeeka apa kwa kua kuna watu wana maduka pia wapo humu
 
Ipo hp Probook ram 6gb 1TB HDD, processor core i5, graphics card Radeon 2gb Dedicated memory. Km upo serious ni contact 0786 328632.... Whatsapp only.
 
Bila kujali dau aliloweka mdau pale juu; bei yako hasa ni ngapi?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom