Nahitaji unga wa ndizi

Nahitaji unga wa ndizi

magicdavie

Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
57
Reaction score
68
Naombeni msaada wa kupata unga wa ndizi /kampuni linalotengeneza unga wa ndizi kwa tanzania hapa
 
Plantain banana flour ...kama 10 kgs ...ila iwe kwenye kampuni iliyosajiliwa mkuu
 
Kama 10 kg mbona hata wewe unaweza tu kukausha ndizi za kijani na kusaga?
Kama mzigo mkubwa labda

India ni watumiaji wakubwa sana wa banana flour maana imo kwenye list ya superfood
20180923_180132.jpeg
 
Back
Top Bottom