magicdavie
Member
- Aug 12, 2017
- 57
- 68
Msaada nahitaji unga wa ndizi au kampuni inayotengeneza (plantain flour )
Bunyangwa. Nenda Tukuyu au tafuta mtu aliyepo kule akutumie.Msaada nahitaji unga wa ndizi au kampuni inayotengeneza (plantain flour )
Unga wa ndizi unatumika kwenye nini tupeane somo
Bunyangwa. Nenda Tukuyu au tafuta mtu aliyepo kule akutumie.
Huo unga ndio unaitwa hivyoHiyo kampuni ndio inaitwa bunyangwa??
Nahitaji unga wa maembe pia, Mwenyenao au kampuni inayotengeneza, Aje Pm
Hahaha Seriously????Nahitaji unga wa maembe pia, Mwenyenao au kampuni inayotengeneza, Aje Pm
Shukrani mkuu nitajitahidi kuulizia!!Huo unga ndio unaitwa hivyo
Ila kama uko siriasi naweza kukutafutia maana kwa muda huu kiangazi wanaweza kukuandalia ndani ya siku unaweza kupatikanaShukrani mkuu nitajitahidi kuulizia!!
Tatizo ..nahitaji uliokuwa kwenye package nzuri !!/kutoka kwenye kampuni fulani mkuuIla kama uko siriasi naweza kukutafutia maana kwa muda huu kiangazi wanaweza kukuandalia ndani ya siku unaweza kupatikana
Maana huwa nikiwa kijijini huwa wanauza kabisa ila wanakuwa hawaja usaga
Kama ni kwenye kampuni sawaTatizo ..nahitaji uliokuwa kwenye package nzuri !!/kutoka kwenye kampuni fulani mkuu
Shukrani mkuu ;..Kama ni kwenye kampuni sawa
Ila sijawahi ona kampuni inayo jishughulisha na unga huu
Tusubiri wengine wanaweza wakawa wanajua kama kuna kampuni
Asante mkuuShukrani mkuu ;..
Unahitaji kiasi gani?Shukrani mkuu ;..
Kama 10 kgUnahitaji kiasi gani?
Sio utani unga wa maembe upo sana na unatengenezea kekiNahitaji unga wa maembe pia, Mwenyenao au kampuni inayotengeneza, Aje Pm