Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
Sold
bado ipoNauza simu hiyo ikiwa katika hali nzuri kabisa nimeinunua mwaka 2014 Thailand. Ina accessories zake zote. Inakaa na chaji kwa Masaa 14 kwenye Internet. Nimebadili simu ndio mana naiuza.
pm kama unahitaji.