Jipatie business card murua na ya kisasa (OFA MAALUMU)

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,339
2,431
Habari wana jamii?

Katika ulimwengu wa kisasa inapendeza sana kama mtu ukiwa na business card ambayo itakua rahisi kwako wewe kumpa mtu mawasiliano yako hasa katika biashara au mawasiliano ya kawaida, hakika utaonekana unaenda na wakati!!!

Nini faida ya business card? Unapompa namba ya simu au taarifa za kampuni au biashara ako ni rahisi kupoteza hata kama atahifadhi kwenye simu, ila ukiwa business card ni rahisi kutunza taarifa zako na hata kuwasiliana na wewe baadae!!

Leo nimeleta ofa kwa ajili yako, ofa ambayo itakupatia business card murua kabisa kwa ajili ya biashara yako au matumizi binafsi!! Utajipatia business card ya kisasa kabisa na inayovutia kwa bei nafuu kama ifwatavyo:

  1. Kudesidn business card ya kisasa kabisa kwa 12000/= Tsh!
  2. Ku design na kuprint 100pcs 18,000/=

Je business card yako utaipata ikiwaje?
  1. utapata business card ikiwa kwenye PDF/Image kama uta design tu,
  2. utapata business card ikiwa kwenye PDF/Image na karatasi(printed)kama uta design na ku print!

Je nini utapata baada ya huduma?

Kama mteja wangu sintakuacha hata baada ya kukupa business card yako!

Bado nitaendelea kukufanyia mabadiliko katika business card yako pindi utapohitaji (Updates), kukupa ushauri utapohitaji, hii yote ni bure kabisa (for free)!!

Tafadhali mteja kwa mahitaji unaweza nicheki kwenye namba hizi:

0717 252009 (Whatsapp)

0752 072900 (call, SMS)

0625 760188 (Call, SMS)

Tupo Dar es salaam na moshi

Moja ya kazi zangu (sample)

bc-mockup DONE.jpg

NB: Tunaamini katika UAMINIFU, UBORA WA KAZI NA KURIDHIKA KWA MTEJA!! KARIBU SANA MTEJA

Tunapatikana Dar es salaam na Moshi! mikoani pia mzigo unakufikia.
[/LIST]
 
Pia ukipenda kuweka na picha yako kwenye business card tutayo design inafaa bei ni ya ofa! Kwaribu mwana jamii!!!
 
mnapatikana wapi nikitaka kuja ofisi zenu?.

Husemi uko wapi sasa?
Wakuu sorry sana!! Tunapatikana moshi na dsm! Ila kazi ikidizainiwa inatumwa online kama pdf...siku hizi kuna whatsapp ambayo imerahisisha maisha, ukitumiwa unaweza print katika stationary yoyote iliyokaribu nawe!!

Pia kama ukitaka tukuprintie kazi inatumwa hata kwa bus mkuu popote ulipo!! Kwa hiyo usiwe na wasi wasi!!

Karibuni sana ndugu zangu!!
 
Karibu bado ofa inaendelea!! Jipatie kitu murua na cha kisasa kwa matumizi binafsi, biashara, shirika n.k!!!
 
Kwa matumizi ya kazi...mtu binafsi...biashara!! Karibu ujipatie kilicho bora kwa bei nafuu!!
 
Asante kwa wanaoendelea kunipigia!! Kazi zenu zinafanyika!! Tutakua wote kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa business card zenu!! Karibun sana wateja!
 
Habari wana jamii?

Katika ulimwengu wa kisasa inapendeza sana kama mtu ukiwa na business card ambayo itakua rahisi kwako wewe kumpa mtu mawasiliano yako hasa katika biashara au mawasiliano ya kawaida, hakika utaonekana unaenda na wakati!!!

Nini faida ya business card? Unapompa namba ya simu au taarifa za kampuni au biashara ako ni rahisi kupoteza hata kama atahifadhi kwenye simu, ila ukiwa business card ni rahisi kutunza taarifa zako na hata kuwasiliana na wewe baadae!!

Leo nimeleta ofa kwa ajili yako, ofa ambayo itakupatia business card murua kabisa kwa ajili ya biashara yako au matumizi binafsi!! Utajipatia business card ya kisasa kabisa na inayovutia kwa bei nafuu kama ifwatavyo:

  1. Kudesidn business card ya kisasa kabisa kwa 12000/= Tsh (hii inakua pande moja au mbili/Two-sided business card).
  2. Kudesign na kuprint 22,000/= Tsh kwa pieces 100!!

    1. Yote katika PDF na picha!

      Je nini utapata baada ya huduma?

      Kama mteja wangu sintakuacha hata baada ya kukupa business card yako!

      Bado nitaendelea kukufanyia mabadiliko katika business card yako pindi utapohitaji (Updates), kukupa ushauri utapohitaji, hii yote ni bure kabisa (for free)!!

      Tafadhali mteja kwa mahitaji unaweza nicheki kwenye namba hizi:

      0717 252009 (Whatsapp)

      0752 072900 (call, SMS)

      0625 760188 (Call, SMS)

      Tupo Dar es salaam na moshi

      Moja ya kazi zangu (sample)

      View attachment 476764

      NB: Tunaamini katika UAMINIFU, UBORA WA KAZI NA KURIDHIKA KWA MTEJA!! KARIBU SANA MTEJA

Salaam,
Ninahitaji huduma moja. Nahitaji kutengeneza Tags, ambazo ni plastic kama hizo business zako, isipokuwa kama inawezekana nataka ziwe ndogo kama nusu ya hiyo business card, lakini precisely cut with clean round edges (sijuwi kama una mashine ya kukata size ndogo, maana size nayotaka ni nusu ya hizo business card). Hizo cards zitakuwa na sehem ya kujaza maandishi kwa mkono kwa kutumia marker pen (permanent marker), hizo pvc unazotumia zinaandikika kwa marker pen? Design tayari ninayo. Tukiafikiana itakuwa kazi endelevu kila baada ya muda fulani nitakuwa nahitaji pc kadhaa.
 
Hizo tags zinakua za muundo gani una sample yake?? Ni zile za kubandika kwenye bidhaa??? Naomba kama unasample yake niwekee hapa au whatsapp? Je ulikua unataka ku print au ku design?

Kuhusu business cards, inategemea na inaweza wekwa kwa material ambayo itakua rahisi kwako kuandika na pen!! BTW Kwanini usiweke hayo maneno moja kwa moja na na uka print business card yakiwepo??

Karibu sana kiongozi!
 
Bado kazi inaendelea...asante kwa wateja wanaoendelea kutoa order!! Kama hujapata yako basi wasiliana nasi mapema ujipatie bidhaa bora!!!
 
Hizo tags zinakua za muundo gani una sample yake?? Ni zile za kubandika kwenye bidhaa??? Naomba kama unasample yake niwekee hapa au whatsapp? Je ulikua unataka ku print au ku design?

Kuhusu business cards, inategemea na inaweza wekwa kwa material ambayo itakua rahisi kwako kuandika na pen!! BTW Kwanini usiweke hayo maneno moja kwa moja na na uka print business card yakiwepo??

Karibu sana kiongozi!

Siyo za kubandika, ni za kuning'iniza kwenye bidhaa. Zinatakiwa ziwe kwenye PVC ngumu, maneno yanaandikwa kabisa lakini kunakuwa na sehem ya kujaza kwa mkono. Size yake nia about nusu ya business card. Design ipo tayari ni kuprint tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom