Natafuta samsung s7 edge mpya kwa lak 6

Natafuta samsung s7 edge mpya kwa lak 6

Rwaz

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,295
Reaction score
4,134
Kwa mnaokaa dar anayejua duka lenye bei rafik kwa sim OG tajwa. Iwe nyeusi.
 
Wspi jamaa nimewasahau jina wanauza pale posta 630k
Nitashukuru kama utajua duka husika au njia rahis ya kumwelekeza mtu afike hapo. Ingawa naskia posta ndo mabingwa wa bei za kukomoana. Utapata thawab
 
Back
Top Bottom