Agiza gari yako na SBT Tanzania

Agiza gari yako na SBT Tanzania

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Kwa gari nzuri, yenye ubora, yenye kudumu na ya gharama nafuu karibu sbt Tanzania office
tutakusimamia uagizaji wa gari yako na hadi inafika mkononi mwako bila tatizo lolote kwa mda mwafaka siku 45.

SBT JAPAN ni kampuni yenye magari mengi sana ya aina mbalimbali kwa kadri ya mahitaji ya wateja dunia nzima.

Ukiagiza gari sbt kupitia kwetu sbt ofisi ya tanzania hakika utapata gari unalohitaji kwa bei nzuri tofauti na bei za yards zetu hapa tanzania.

Popote ulipo tanzania gari utaipata. hata kama wewe ni muuzaji rejareja, njoo tukuagizie gari za wateja wako, najua utapata faida. ila kama wewe ni mtumiaji karibu haraka achana na yards, lipia gari yako isubiri siku 45, utaipata gari yako na utaweza kubana/kusave kuanzia tsh 1,500,000 au zaidi.

Hatua: kama uko dar:

1) Nipigie simu 0652 656565 au 0682096669

2) Njoo ofisini sbt tanzania-posta jengo jipya la nhc (samora avenue)

3) Tutasaidiana kwa pamoja kuchagua gari na kukupigia hesabu zote na hatimae kukupa invoice ya kulipia bank ya sbt japan...kama kuna punguzo zaidi tutajadili ofisini.

4) Ukishalipia bei ya kununua gari na usafiri hadi bandari dar, unasubiri week 2 hivi documents zitakuwa zishafika, kwa msaada wetu pia tutamalizia zoezi la kuitoa hiyo gari mara ikifika bandarini, kuisajili na kuikabidhi kwako ikiwa tayari barabarani.

Kama uko mkoani;

Nipigie simu hizo juu;

Ingia mtandaoni sbt japan ( www.sbtjapan.com) chagua gari katika stock, nitajie no ya stock kisha tutakupigia gharama za hiyo gari na hatua zingine zitafuata.

www.sbtjapan.com

Whasap chat: 0754734009
 
Gari hizi utaagiziwa chini ya 10ml Tsh:
Toyota IST
Toyota Raum
Toyota Sienta
Nissan Note
Nissan cube
Toyota vitz
Suzuki Swift
Honda fit
Nk Nk
 
Gari hizi utaagiziwa chini ya 10ml Tsh:
Toyota IST
Toyota Raum
Toyota Sienta
Nissan Note
Nissan cube
Toyota vitz
Suzuki Swift
Honda fit
Nk Nk
Una maanisha pamoja na ushuru ama?
 
Mkuu! cruiser 1HZ model 2005 pick up yenye hali nzuri kabisa na haikutembea sana + ushuru na kila kitu. Itacost ngapi?
 
Nataka kuwa Baba mwenye gari soon nitawachekk ofisini kwenu hapo
 
Nataka kuwa Baba mwenye gari soon nitawachekk ofisini kwenu hapo
Ni mhimu sana kwa michakato ya kimaendeleo...hata kabla hujawa baba mwenye nyumba unaweza kuwa baba mwenye gari na mishe zako zikaenda safi hadi kuitwa baba mwneye nyumba....gari isitumike kama chombo cha starehe peke yake...hiyo iwe ni 10% ya matumizi yake...sehemu kubwa iwe kukurahishia mishe za pesa na maisha mengine kifamilia...sio 90% kula bata tu. hiyo iwe baada ya kuwa na mjengo na project zingine.
 
Mkuu hilux d4d 2012 model 2.5L naipata kwa bei gani full cost
 
Mbona hujajibu mkuu
Hiyo haipo stock yetu kwa sasa. Nikuchekie Beforward na kampuni nyingine ? Nauwezo huo, hata kukufanyia process, only you pay facilitation fee
 
Back
Top Bottom