Msaada kwa wauzaji wa urembo wa magari

Msaada kwa wauzaji wa urembo wa magari

debbug

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
562
Reaction score
855
Habari za jion wapendwa natumaini ni wazima wa afya.

Naitaji mapambo Kama ya gari hii kuanzia ilo bampa la juu na izo bampa za pembeni kuazia taili ya mbele na ya nyuma na pia bamba la nyuma ilo

naitaji niweke kwenye gari hii nyingine haina mapambo Kama hayo
IMG_20181108_073407.jpg
IMG_20181108_073429.jpg
 
Habari za jion wapendwa natumaini ni wazima wa afya.

Naitaji mapambo Kama ya gari hii kuanzia ilo bampa la juu na izo bampa za pembeni kuazia taili ya mbele na ya nyuma na pia bamba la nyuma ilo

naitaji niweke kwenye gari hii nyingine haina mapambo Kama hayoView attachment 926936View attachment 926942
kwa anae uza naitaji anieleze bei ni kiasi gan na anapatikana wap kwa mawasiliano
0769067063
IMG_20181108_073429.jpg
 
Passo sio gari, ni kifaa chenye matairi manne yanayomove
 
Back
Top Bottom