Jinsi ya kudhibiti tatizo la harufu kali ya jasho maarufu kama kunuka kikwapa kwa Tsh 5,000/= hadi Tsh 8,000/= tu

AFYA ZAIDI CONSULTANTS

Senior Member
Mar 6, 2017
135
519
Kama unasumbuliwa na harufu mbaya ya jasho tafuta Deodorant (Bei zake mara nyingi ni kati ya Tsh 5,000/= hadi Tsh 8,000/= Tu) ya Nivea au Dove au Fa au Rexona au Axe na kadhalika kisha tumia kwapani mwako au kwenye nguo na utakuwa umepunguza au kumaliza kabisa tatizo lako. Kuna deodorant za kupulizia kwapani au kwenye nguo na zile za kupaka kwapani, chaguo ni lako. Pia kuna za kike (For Women) na za kiume (For Men) :D:D:D kwa hiyo kaka au dada usije ukatumia ya shemeji.

Mwaka 2019 ni zamu ya kila mtu kung'aa, kuondokana na tatizo lake na kufurahi. Kama utapenda kujifunza zaidi kuhusu afya, urembo na vipodozi na kupata ushauri binafsi kutoka kwangu basi karibu sana na utakuwa poa zaidi. Nipigie simu au nitumie meseji au whatsapp: 0719326693 / 0743422883

Kama ni wewe mwenyewe au ndugu, jamaa au rafiki yako basi fanya hivyo au mshauri kisha mtakuwa na amani na furaha. Kama unatumia deodorant na bado harufu kali ya jasho inakusumbua basi kuna uwezekano mkubwa ukawa na maambukizi ya vijidudu vya magonjwa (Mfano bakteria) kwenye kwapa lako ambapo sasa utatakiwa kupata ushauri wa daktari na kutibu hayo maambukizi pia. Pia jitahidi kunyoa nywele za kwapani mara kwa mara maana zinarundika uchafu na ogea sabuni yenye dawa (Medicated soap) kama vile Family, Rungu, Dettol, Protex, Tetmosol na kadhalika.

Usisahahu kuleta mrejesho..........

====== MWISHO ======

Kama unasumbuliwa na kutokwa na jasho jingi, chunusi, madoadoa, michirizi, makunyanzi, harufu mbaya ya mdomo, mafuta mengi usoni, ngozi kavu, muwasho, vipodozi vikali au tatizo jingine lolote basi tumia wiki hii kumaliza tatizo lako.

Tuma meseji au piga simu au whatsapp kwa ushauri utakaokufaa zaidi na kutimiza malengo yako ukiwa popote Tanzania. Tumia simu namba 0719326693 au 0743422883.

AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS tunakupenda sana!
Ukiwa na haraka au unahitaji faragha piga simu au tuma meseji best maana kujibu comment muda wote ni issue na hapa ni public. 0719326693 / 0743422883 / afyazaidi@gmail.com

Uwe na siku njema!

Furahia Gharama Ndogo Na Uhakika Wa Matokeo Mazuri.png
 
Back
Top Bottom