Nipo DSM, KaweWakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue.
Karibuni sana
Naona unahitaji kuanza Urafiki Mpya na mafundi gereji mwaka huu, kila la heri MkuuWakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue.
Karibuni sana
Hakuna namna mkuuNaona unahitaji kuanza Urafiki Mpya na mafundi gereji mwaka huu, kila la heri Mkuu
Mkuu nicheki namba hii nikupe Corolla bado iko fresh sana 0673269820.Wakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue.
Karibuni sana
Pamoja mkuuMkuu nicheki namba hii nikupe Corolla bado iko fresh sana 0673269820.
Hii nayo mkuu nadhani ni yako.Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha View attachment 983221
Ndio mkuu, huu ni mkebe wangu ninao tumia kutamba hapa Ushirombo...tehteehh
Mkuuu kuna gari iko Kinyerezi mwisho Corolla Injin safi na body lake ndio lina kutu kiasi bei yake ni Laki 5 tu. Nakutafutia mawasiliano niKupm namba ya mwenye gari kwa ajili ya mawasiliano ukalikague ujiridhishe lkn kwa uelewa wangu wa magari lile gari litafaa sana.Wakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue.
Karibuni sana
Fanya hivyo harakaMkuuu kuna gari iko Kinyerezi mwisho Corolla Injin safi na body lake ndio lina kutu kiasi bei yake ni Laki 5 tu. Nakutafutia mawasiliano niKupm namba ya mwenye gari kwa ajili ya mawasiliano ukalikague ujiridhishe lkn kwa uelewa wangu wa magari lile gari litafaa sana.
Benzi ipi hiyo mkuu. Niko interested hapaMkuu, Benzi mfupa huhitaji?
Kama zile za Ikulu 😳
Mkuu nimekutumia PM, tafadhaliMkuuu kuna gari iko Kinyerezi mwisho Corolla Injin safi na body lake ndio lina kutu kiasi bei yake ni Laki 5 tu. Nakutafutia mawasiliano niKupm namba ya mwenye gari kwa ajili ya mawasiliano ukalikague ujiridhishe lkn kwa uelewa wangu wa magari lile gari litafaa sana.
Mkuu vp, ingia inbox tafadhali!Mkuuu kuna gari iko Kinyerezi mwisho Corolla Injin safi na body lake ndio lina kutu kiasi bei yake ni Laki 5 tu. Nakutafutia mawasiliano niKupm namba ya mwenye gari kwa ajili ya mawasiliano ukalikague ujiridhishe lkn kwa uelewa wangu wa magari lile gari litafaa sana.
Hivi wewe ndio zamani ulikuwa na ID ya ushirombo?[emoji23]Ndio mkuu, huu ni mkebe wangu ninao tumia kutamba hapa Ushirombo...tehteehh
Hapana mkuu, zamani nilikua Ushiboy then nikaifanyia marekebisho na ikakua Ushimen....[emoji4] [emoji4]