Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

Ila maisha haya nyoko sana aisee...
Kuna muda unawaza vitu unaishia kutikisa kichwa tu Wallah!!
Mm nimekutana na dogo ana 23 yrs ana 1b! Ana elimu ya std 4!
Ana utitiri wa mitumbwi ya kuvulia acha kbs .yaan kijiji kizima wanamtegemea yeye! Narudia ana 1b...alinionesha akaunt nikarudi gheto kulala!
Kuna jamaa amesomeaga dit ni kichwa balaa... alikua kampuni fulan.maarufu...nimewah kaa naye kama 8mths migodini akisoma mchezo ajabu yulr jamaa ana maisha ya kimaskini kbs...mm nilikua nikifeli mishe zangu ile nna stress yy ndo alikua ananisovia fasta mambi yananyooka😆😆!
Anakupa idea anakuchorea kila.kitu kwa kitabu anakuambia hebu ifanye utatoka..ila yy kila kitu walaaa...nikaja gundua ni mwathirika wa forex...yaan anahitaji sana maombi...anachoma hela balaa forex...! Haya maisha mm siyaelewagi pia🤣!
Kifupi ushukuru tu kwa kidogo unachopata
 
Msijipe moyo. Waliopiga one wengi wao wana maisha mazuri. Sema wengi wanaishia middle class. Wenye one wengi wao kufika daraja la juu kabisa ni changamoto. Huishia lile daraja la kuwa na nyumba moja, gari moja kama crown, spacio na jamii hiyo pamoja na familia inayoishi kizungu. Wale wa div three kushuka chini wengi wao huwa daraja la chini kabisa kimaisha na wachache huwa daraja la juu kabisa... hawakaagi katikati.
 
Forex noma sana. Tukubaliane bado dunia haijaruhusu hela ipatikane kirahisi hivyo.
 
Msijipe moyo. Waliopiga one wengi wao wana maisha mazuri. Sema wengi wanaishia middle class. Wenye one wengi wao kufika daraja la juu kabisa ni changamoto. Huishia lile daraja la kuwa na nyumba moja, gari moja kama crown, spacio na jamii hiyo pamoja na familia inayoishi kizungu. Wale wa div three kushuka chini wengi wao huwa daraja la chini kabisa kimaisha na wachache huwa daraja la juu kabisa... hawakaagi katikati.
😀😀 nimeandika nikafuta
 
kuna mmoja ni daktari bingwa yuko hovyo yaani anakula rushwa mpaka ya buku
Kuna dk mmoja ni bingwa wa kina mama napoishi anakujaga nimkope had 20!yaan anafanyia operation watu lakini mm nakaaga namfikiria najikuta naogopa...ana zaidi ya 15 kazini.ila.hata usafiri hana ..nyumba ya shape L .ndo maana kuna jamaa hapo nimemwambia asiwasemee!
Ikifikaga kioindi cha ada ananiambia nakutegemea mwanangu...! Ah hapana aise...hatuwanangi ila hapana
 
Kwani kupata one ni suala la bahati? Mbona one huwa zinajulikana kabla ya matokeo kwamba fulan na fulan watapiga one?

Anyway nilipata one O level na A level pia, bado sijajua lengo lako ni lipi hasa! Au tuunde whatsapp group la vipanga
 
Back
Top Bottom