The Mbagala bombs have scared me a lot!! I have not much to say today except that in addition to being scared, I am sorry for not saying a word this long.
Hello to every one here at Jamii Forums!
It is a pleasure to join in and I look forward to many discussions and contributions on various topics that will enlight us all on issues that matter to...
Mimi ni Emma,
Mwanamke mpenda haki, mtoa haki, muwazi na mkweli.
Naomba ruhusa nianze kujumuika na wana jamii.
Naahidi kufuata sheria za forum hii murua,
Nitakuwa mimi kwa mitazamo yangu...
Mambo!
Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
Hamjambo wana JF? Hii forum inaelimisha mambo mengi, kweli ni Home of great thinkers, tudumishe hili kwa kuandika katika lugha safi,ili tuendelee kujifunza na kuburudika pia.Ahsanteni wenzangu...
Hodi hodi ,naingia ndani
Jina langu, ni siri yangu
Mdanganyika2009, ndivyo nimeitwa
Hodi hodi naingia ndani.
Hodi hodi, naingia ndani
Kaka dada, baba mama
Nawasihi mnipokee, mdanganyika2009...
aah! ooh! naam! ni pumzi iliyo tumaini na isiyoshakani! naamini kile ambacho uliathamini na baadaye kikatumika na baadaye ukafika kwa walioamini' si mie mwenye fimbo na wala sikuchapa mie lakini...
Dear Jamii,
How are you? I am Emanuel Feruzi. I am a Free Software Consultant for FreeCode International. Also I am the founder and still an active member of the tzLUG. I am here to learn and to...
habari zenu wana JF,
sijui ni ushamba...nimeshtukia hii site tu...nilikuwa natafuta site nyingine kabisa...laiti ningalijua mwanzoni.Niko Toronto Canada..ni katika wale waliochoka siasa za...