Salaam za wapendwa wa zion! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salaam za wapendwa wa zion!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Swahilian, Apr 29, 2009.

 1. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  aah! ooh! naam! ni pumzi iliyo tumaini na isiyoshakani! naamini kile ambacho uliathamini na baadaye kikatumika na baadaye ukafika kwa walioamini' si mie mwenye fimbo na wala sikuchapa mie lakini yamegawanyika' namshukuru mola,ALLAH,JAH,JEHOVA nimefika sayuni' Nina ujumbe wa wengi wanokuja ingawa sina hakika iwapo wote watafika hapa duniani' nimechoka sana naomba nafasi nipumzike, kesho ntawahabarisha nlipokuwa kwake! ENYI MLIOAMINI.. NIPOKEENI...
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Habari za Sayuni
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Sema kwanza walioamini nini? maana inawezekana unasema walioamini kuwa ufisadi ni ujanja wa kupata! au unamaanisha wale wanaoamini miungu! Sema kwa uwazi wale wanaoamini nini????? maana naona unaingia na ugeni wa mkwara.
   
 4. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ukiishi kwa kuamini utaamini chochote' na utatafuta imani popote, ye aaminiye ufisadi kwa kuchukia tu au kuandika tu naye ni muumini au siyo? mi ni mmoja wa waumini kama wewe na hao japo labda mi cjui hasa naamini hasa nini labda we utajua, na ikiwa nawe unaamini! ufisadi si biashara pekee mjombaa! japo inauza sana kipindi hiki na wateja wako bwerere! na usijali tutakuwa pamoja na kuamini kwetu,au siyo ndugu yangu!
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Swahilian, weka huo ujumbe wa wote. Maana naona umeshaanza uswahilian. Maneno meeeeeengi.
   
 6. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  usijali ndugu yangu Marx naona we ni Mmaxist wa kweli, usiwe na haraka mjomba taratibu 2sije feli, we tulia nami nitulie lakini hakiki usalama upo kwani babylony ni wengi wameweka manowari, upande wangu ndo wako ndugu yangu japo wangu na kamba mguuni naomba uniamini na tule kiapo cha utii yaani kufa na kuishi ili maadui wasituzidi. salaaam hizooo!
   
 7. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
   
 8. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Hawa wanahitaji Tusker Bariidi au Makonyagi! Teh! Teh! teh!
   
 9. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #9
  Apr 30, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Swahilian
  Join Date: Tue Apr 2009
  Location: Dar es salaam
  Posts: 10
  Thanks: 0
  Thanked 1 Time in 1 Post
  Rep Power: 0 [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  Credits: 17,630
   
 10. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Tulio amini kitu gani, Bring your message, ndio tatakupokea...
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
   
 12. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sawa kaka! najua una hamu ya kujua na mie bado sijagundua kuwa kipi hasa unakitaka' wacha nikae nione na nifanye kama vile ufanyavyo na nile kile ulacho' linishindapo swala ntakuuliza ingawa najua ni vigumu kufika hapo ulipo' tafadhali niandikacho ndo hicho, niazime yako macho kwa muda utajua na utakipata kile ulacho' mie ni ndege kama wewe ingawa si lazima tupae ndo tujulikane hivyo,nafkiri tuna sifa zetu bainifu apataye tabu afikiriaye sicho!
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo wewe ni ndege asiye paa. Unajuwa, ndege wengi wasio paa wanafugwa, sasa na wewe sijuwi ni wakivipi?

  Maana sifa ya ndege, kupaa.
   
 14. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nisome'si lazima tupae ndo tujulikane' si tuna sifa zetu ausiyo? hapo 2ko pamoja nafkiri shaka hakuna! tatizo nawewe mtata mnoo! basi inakuwaa mbilinge bin pukuru! ucjali ndege mie mtulivu ila cjapata kufugwa sasa cjui ndo gundu au? we nisome tu ukiweza ka vp nifuge, au vp? TUPAE MAN!
   
Loading...