Wandugu wenye uchungu na "nji" hii...yaani mambo yamekuwa mengi sana hapa mjini ila nimekuwa nikisoma sana daily ma-updates yanayotumwa straight kwenye e-mail yangu lakini mchango wangu umekuwa...
Hello wanaJF wote. Nami nimeingia na nina hasira kidogo kwa wale wote wanaoididimiza nchi hii. Kwa hivyo nitakuwa sina mchezo hata kidogo -- naomba ushirikiano. hasa nawataka wale wanafiki --...
Nimeamua kujiunga na jamii forum.
Baadhi ya utambulisho wangu,
1. Sipendi matusi
2. Napenda mada zenye kuheshimu watu
3 Mimi ni mtetezi wa wanawake.
4. Napenda Injili na nyimbo.
mimi kama mnavyonisoma hapo naitwa Peter Mtemiwao......nipo kanda ya ziwa(mwanza) nimefurahishwa na michango yenu waheshimiwa wanajamii........Nikaribisheni tuendeleze libeneke
cheers
Thanks for the stage but, I want my vote Back! Let's support these Iranians, they need our backing. Kikwete represented us when we backed our friends in Kenya, let's do this together! WHERE IS MY...
Jamani hivi nyie vipi wasela??
mbona naingia halafu sikaribishwi???
Nitasusa mimi au mnabisha?????
Kama hamjambo hiyo hainihusu ila nawasalimia tu kwa jina la Amani na Upendo
Ndugu zangu wote hamjambo humu ndani?
Najiunga rasmi kundini, lakini mimi niko tofauti kidogo kwani "ntabase" kwenye jinsi JF itakavyotunisha kamfuko kangu, nimeona kuna resources kibao humu na...
Nimekuwa nikisoma jamiiforums kwa muda mfupi sasa na kugundua kuwa nimejifunza mengi kwa kipindi hiki kifupi. Kwa misingi hii nimeonelea ni vyema nikajiunga rasmi na Jamvi hili baada ya kuwa...
Assalamu alykum
New here to forum and wanted to say hi to all here. Very pleased to finally join thinkers as I've been looking at it for some time now. Hoping to be somewhat active here and...
Hodi hodi jamani wana JF....huyu si mwingine bali ni Mkaruka Giledi (Tata Giledi) wa Etaro Makao hadi Ekungu,kwa wale abhagangaji wamenisoma hapoooo....ndani ya jumba la wana JF...Ahsanteni sana...
Nimejaribu Pita Pita katika JF nakuipenda na ni matumaini yangu kuwa Wana JF Mtanilea vizuri!
你好!Nihao! -Habari!
我 wo-mimi
你 ni-Wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.