Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
wajumbe wa jamiiforums assalam aleykum,nimeamuwa kujiunga na jamiiforums niweze kujuwa nini kinatokezea na mimi niwe mmoja niweze kutoa mchango wangu,nakummbeni mnikaribishe. pharow
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Mi msichana toka Ugerman, nasoma udaktari. nafurahi kuwa nimekuta JF. Natamani mnanipa nafasi ya kuboresha kiswahili yangu. Kwa hiyo kama labda nakosa grammar msichukie.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekuwa mpenzi wa hili jamvi,na leo nimeamua kupiga hodi nikaribishwe kikaoni badala ya kuwa mshuhudiaji kwa mbali.natumaini kupokelewa na kujifunza mengi toka kwenu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mgosi says hi ! with much respect to you guys.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Penye wengi kuna mambo, ndugu zanguni nimetinga naomba mnipokee. 'The whole is greater than the sum of its parts'
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hellow wanajamii, nikaribisheni ili tuwe pamoja katika kuchangia mawazo yatakayoijenga jamii na nchi yetu kwa ujumla. UKIMWI ni hatari, so take care!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF, hodi wa jameni naomba mnikaribishe tafaaaaazali!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu,Waungwana hodi hodi jamvini,mimi sugar wa ukweli naombeni mnipokee
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzanians and JF Members, I have been and always will have interest of my country at heart. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania. I am a Conservative with liberal views and would like...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, kwa muda sasa nimekuwa nikipitia mtandao huu na kweli nikiri kwamba nimejifunza mengi. Sijaona mahali pengine ambapo kwa nafasi yangu naweza kukutana na watu aina tofauti na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu mlio hapa JF, nimelisoma jukwaa kwa takribani mwezi mmoja na nimefaidika na mengi hivyo ahsanteni sana kwa hilo, nami nimeonelea nijiunge ili nipate kuchangia yangu niliyoojaliwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumaini wanajamii hamjambo, vile vile ninaamini nimekaribishwa pamoja kwamba nimeisha ingia ndio natoa taarifa. Mtarijie kuona sasa mambo mengi toka kwa Ona Sasa Asenteni sana kwa ukarimu wenu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, Napenda kuwapongeza wote kwa kazi nzuri na michango mingi yenye kujenga. Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana. Nimeona nijiunge nanyi ili niweze kuchangia. Siko anony...ni mwandishi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimefurahi kuona forum hio na ninaomba kuingia, hata kama bado sijajua kiswahili kabisa. Sasa hivi niko mbali kidogo ya tanzania ila moyo yangu inakaa kule. Ntafurahi kupata nafasi kukuta watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi every body,ndio naingia,aona mada ni motomoto.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, jamii Am part of the Forumsssssssssss :rolleyes:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I salute all of you members of this great thinker's site, i'm profound humbled to be a member among you. i envision to my membership will be worthwhile, and i am looking forward to add contribute...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ningependa kutumia fursa hii kushirikiana na watanzania wote popote mlipo katika kupeana mawazo na kutatua matatizo hasa yale yanayohusiana na Computer, Communication nk.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hope you are all well,just got in as a new member and I have been very excited with all that is going on in this forum, I do wish my sincere regards to all members of JF. Lets push on.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vipi guys!! Nimejua na jamii forum baada ya kuona kuna topics zilizotulia na comment nzuri zenye manufaa kwa jamii. mwana jamii mwenzenu Birmingham-UK
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom