habari zenu wanaJF?

Mtanzaniamweupe

New Member
Jul 2, 2009
2
0
Nimefurahi kuona forum hio na ninaomba kuingia, hata kama bado sijajua kiswahili kabisa. Sasa hivi niko mbali kidogo ya tanzania ila moyo yangu inakaa kule. Ntafurahi kupata nafasi kukuta watu hapa na kujua mambo ya tanzania inaendelaje.
 
Karibu usijali kiswahili unakijua kwa kiwango kikubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom