Homo Habilis
Senior Member
- Jul 2, 2009
- 188
- 23
Habari zenu ndugu mlio hapa JF, nimelisoma jukwaa kwa takribani mwezi mmoja na nimefaidika na mengi hivyo ahsanteni sana kwa hilo, nami nimeonelea nijiunge ili nipate kuchangia yangu niliyoojaliwa na nitakayojaaliwa,
nasema hodi hodi waungwana.
nasema hodi hodi waungwana.