Hodi Hodi wajameni!

MNDEE

JF-Expert Member
Jul 10, 2009
491
68
Penye wengi kuna mambo, ndugu zanguni nimetinga naomba mnipokee.

'The whole is greater than the sum of its parts'
 
Hodi Hodi wajameni! Today, 04:50 AM
Karibu sana. Usijisikie vibaya kuona wengi wamekuwa kimya kukukaribisha muda mrefu tangu ulipopiga hodi. Tatizo ni kwamba umepiga hodi usiku sana (kwa waliopo Tz), muda huo wengi walikuwa either wamelala au ndio wako katika mambo ya ndoa. Heri aliyekuwa amelala anaweza kuamka kukukaribisha, kuliko huyo mwingine! Karibu JF.
 
Back
Top Bottom